Showing posts with label Artists. Show all posts
Showing posts with label Artists. Show all posts
Tuesday, February 07, 2017
Sunday, June 15, 2014
Tanzia - Collins Mdachi
Nimepata habari hii kwa email.
TANZIA
Collins Mdachi Msanii mchoraji wa vielelezo vitabuni afariki dunia. Kazi yake ya kwanza ya Bonge Na Ukimwi ilifungua milango kwa illustrators wengi kuaminiwa na kuthaminiwa kwenye kampeni za awali dhidi ya UKIMWI.
Mpaka sasa hatujajuzwa chanzo cha kifo chake, lakini daima atabaki kuwa kaka, rafiki na mwalimu wa wengi kwenye tasnia ya vielelezo.

![]() |
| The Late Collins Mdachi |
Tuesday, August 06, 2013
Friday, December 21, 2012
Rais Kikwete Apongezwa na Wasanii Wakongwe Kwa Kuwajali
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Desemba 21, 2012 amepokea ujumbe wa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na filamu uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaaam kwa kuwajali wasanii wa aina zote na hata kuamua kutoa tuzo kwa wasanii ambapo mwaka huu amewatunuku Muhidin Maalim Gurumo na Hayati Marijani Rajabu.
PICHA NA IKULU
Labels:
Artists,
Ikulu,
President Jakaya Kikwete,
Wasanii
Subscribe to:
Posts (Atom)