Friday, December 21, 2012

Rais Kikwete Apongezwa na Wasanii Wakongwe Kwa Kuwajali

Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Desemba 21, 2012 amepokea ujumbe wa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na filamu uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaaam kwa kuwajali wasanii wa aina zote na hata kuamua kutoa tuzo kwa wasanii ambapo mwaka huu amewatunuku Muhidin Maalim Gurumo na Hayati Marijani Rajabu.

PICHA NA IKULU

1 comment:

Anonymous said...

Tatizo la Bongo wasanii hawathaminiwa. Marijani, Mzee Morris, Mzaa Jangala, Bibi Siti, Tunawakumbuka kweli? Acha hayo mambo ya kisasa ya akina Ray na Kanumba.