Sunday, June 15, 2014

Tanzia - Collins Mdachi

 Nimepata habari hii kwa email.

TANZIA

Collins Mdachi Msanii mchoraji wa vielelezo vitabuni afariki dunia. Kazi yake ya kwanza ya Bonge Na Ukimwi ilifungua milango kwa illustrators wengi kuaminiwa na kuthaminiwa kwenye kampeni za awali dhidi ya UKIMWI.

Mpaka sasa hatujajuzwa chanzo cha kifo chake, lakini daima atabaki kuwa kaka, rafiki na mwalimu wa wengi kwenye tasnia ya vielelezo.

The Late Collins Mdachi

1 comment: