Tumefungiwa ndani, hakuna kutoka nje! Wanasema kuwa hakuna kufungua mlango hata kama ni polisi, wanasema kuwa jamaa anataka kuua watu!
Huyo ndiye gaidi wanayemtafuta! Nilikuwa nawaona hapa Cambridge lakini nilidhani ni wanafunzi wa kawaida!
Showing posts with label Gaidi. Show all posts
Showing posts with label Gaidi. Show all posts
Friday, April 19, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)