Friday, April 19, 2013

Tumefungiwa Ndani ya Majumba Yetu Boston!

Tumefungiwa ndani, hakuna kutoka nje! Wanasema kuwa hakuna kufungua mlango hata kama ni polisi, wanasema kuwa jamaa anataka kuua watu!
Huyo ndiye gaidi wanayemtafuta!  Nilikuwa nawaona hapa Cambridge lakini nilidhani ni wanafunzi wa kawaida!


No comments: