Wadau, mcheza sinema maarufu wa Bongo, Steven Kanumba hachoki! Yuko katika harakato za kushuti sinema mpya, Hero of the Church. HONGERA STEVEN KANUMBA!
***************************************************************************** Maelezo na picha kutoka Abdallah Mrisho Blog:
Kinara wa filamu za Bongo, Steven Kanumba (shoto), hivi sasa yupo katika shooting ya filamu nyingine mpya ambayo anatarajia kuwashirikisha wasanii wa Africa Mashariki, filamu hiyo itajulikana kwa jina la Hero Of The Church na itaongozwa na Director kutoka Nigeria, Feme Ogodegbe (pichani kulia). kati ni Princess Sheila Mvununje kutoka Uganda ambaye naye atakuwemo kwenye filamu hiyo. Baadhi ya mastaa wa falamu za Bongo watakaokuwemo ndani ya filamu hiyo ambayo imeanza kurekodiwa jijini Dar. Mnamcheki 'dogo' Ben (kushoto hapo) alivyojazia siku hizi?
Moja ya scene zitakazopatikana kwenye Hero of the Church......yetu macho!
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA.
You can contact me at chemiche3@yahoo.com.