Huu wimbo ulifana sana enzi zile!!! Ni Taarab ya kweli. The Real Deal!
Showing posts with label Taarab. Show all posts
Showing posts with label Taarab. Show all posts
Monday, December 26, 2016
Saturday, October 29, 2016
Khadija Omar Kopa Adunda Mjini Mwanza na Show Kabambe!
Malikia wa Taarabu Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omar Kopa, akitoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Mwanza usiku wa kuamkia leo ndani ya Villa Park Resort kwenye show ya Usiku wa Mshike Mshike iliyoandaliwa na 102.5 Lake Fm Mwanza.
Na BMG
Bi.Khadija Omar Kopa pamoja na bendi yake ya Ogopa Kopa Classic alikonga nyoyo za wakazi wa Jiji la Mwanza.

Wananzengo wakifurahia burudani iliyotolewa kwenye Usiku wa Mshike Mshike na 102.5 Lake Fm
Timu ya Uongozi na Wafanyakazi wa 102.5 Lake Fm Mwanza pia ilitambulishwa kwa Wananzengo kwenye show hiyo
Timu ya Uongozi na Wafanyakazi wa 102.5 Lake Fm Mwanza pia ilitambulishwa kwa Wananzengo kwenye show hiyo
Wananzengo kutoka 102.5 Lake Fm Mwanza
Timu ya Uongozi na Wafanyakazi wa 102.5 Lake Fm Mwanza pia ikijitambulisha kwa Wananzengo kwenye show hiyo
Madjz wa 102.5 Lake Fm, Dj Hcue (katikati), Dj KFlip (kushoto) na Dj Dhifa (kulia)
Dj Dhifa
Dj KFlip (kushoto) na Dj Hcue
Khadija Omar Kopa akihojiwa na wanahabari baada ya show
Hakika 102.5 Lake Fm Mwanza ni Raha ya Rock City na ni Redio ya Wananzengo. Kaa tayari kwa show ijayo.
Bonyeza HAPA Kwa Taarifa Zaidi
Saturday, January 04, 2014
Moyo Unalia, Macho Yanacheka
Mwimbaji ni Bi Shakila wa JKT Band
Labels:
Bi Shakila,
Moyo unalia Macho yanacheka,
Taarab
Thursday, June 06, 2013
Khadija Kopa Afiwa na Mume Wake!
Nimepata taarifa kuwa mume wa malkia ya mipasho, Khadija Kopa, Mr. Jaffari Ally amefariki dunia saa 9 usiku wa kuamkia leo. Nitabandika updates nikipata.
Pole sana Dada Khadija Kopa. Mungu akutie nguvu katika kipind hiki kigumu. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Amin.
Naona salamu za pole zinamiminika kwenye Facebook page yake: https://www.facebook.com/MalkiaKhadijaKopa?fref=ts
Ratiba
kamili ya msiba huo bado hadi sasa haijafahamika lakini inadhaniwa
huenda msiba huo ukawa maeneo ya Chaline au Lugoba ambako ni nyumbani
kwa wazazi wa Marehemu.
***********************************************
MUME WA KHADIJA OMARY KOPA"MALKIA WA MIPASHO TANZANIA"AMEFARIKI USIKU HUU MIDA YA SAA TISA USIKU POLEE SANA KHADIJA KOPA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI
BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE!
"AMEN"
Pole sana Dada Khadija Kopa. Mungu akutie nguvu katika kipind hiki kigumu. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Amin.
Naona salamu za pole zinamiminika kwenye Facebook page yake: https://www.facebook.com/MalkiaKhadijaKopa?fref=ts
Jafari na Khadija Kopa, walifunga ndoa mwaka 2008.
Wakati
kifo hicho kinatokea mke wake hakuwepo jijini Dar, kwani alikuwa
safarini Rukwa alikokwenda na kundi zima la TOT kwa ajili ya
kusherehesha Sherehe za Siku ya Mazingira Duniani zilizofanyika Kitaifa
mkoani humo, ambapo leo anatarajia kuwasili jijini.
***********************************************
![]() |
| Khadija Kopa (kulia) mume wake na watoto wao mwaka jana kwenye tuzo. |
| Khadija Kopa akiwa na mumewe kabla ya kupanda jukwaani kutoa burudani (picha ilipigwa 2012) |
MUME WA KHADIJA OMARY KOPA"MALKIA WA MIPASHO TANZANIA"AMEFARIKI USIKU HUU MIDA YA SAA TISA USIKU POLEE SANA KHADIJA KOPA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI
BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE!
"AMEN"
Wednesday, December 05, 2012
Sunday, November 06, 2011
CCM = Afro Shirazi Party + TANU
Sikiliza huo wimbo kuhusu Vyama Vya Siasa Vya Afro Shirazi Party na TANU
http://mwanasimba.online.fr/E_taarab_afro.htm
http://mwanasimba.online.fr/E_taarab_afro.htm
![]() |
| Bibi Titi na Mwalimu wakihotubia Wananchi enzi za TANU |
Subscribe to:
Posts (Atom)