| Mimi na Joe Banks mwaka 2009. Tuliigiza katika mchezo wa kuigiza, "The Harlem Renaissance Reviisted". Yeye aliigiza kama Steve Lucky na mimi niliigiza kama Ms. Thelms. |
Showing posts with label Uchokozi. Show all posts
Showing posts with label Uchokozi. Show all posts
Tuesday, October 23, 2012
Life As a School Boy - Wimbo Mpya
Rafiki na msanii mwenzangu hapa Boston, Joe Banks, Jr. ametunga wimbo mpya unaohusu uchokozi unatokea mashuleni hadi watoto wanaumizana wengine hata kujiua. Karibu msikilize.
Subscribe to:
Posts (Atom)


