Tuesday, October 23, 2012

Life As a School Boy - Wimbo Mpya

 Rafiki na msanii mwenzangu hapa Boston, Joe Banks, Jr. ametunga wimbo mpya unaohusu uchokozi unatokea mashuleni hadi watoto wanaumizana wengine hata kujiua.  Karibu msikilize.Mimi na Joe Banks mwaka 2009. Tuliigiza katika mchezo wa kuigiza, "The Harlem Renaissance Reviisted". Yeye aliigiza kama Steve Lucky na mimi niliigiza kama Ms. Thelms.

2 comments:

emu-three said...

Hongera sana mpendwa kweli ww upo JUU , UBARIKIWE SANA

Anonymous said...

Mpe Hongera Bro Joe! Nimeupenda huo wimbo safi sana.