Showing posts with label Venezuela. Show all posts
Showing posts with label Venezuela. Show all posts
Wednesday, March 06, 2013
Rais wa Venezuela, Hugo Chavez Afariki Dunia!
Wadau, leo tumempoteza mtetezi wa maskini, Rais Hugo Chavez wa Venezuela. Alikuwa na miaka 58. Aliugua ugonjwa wa kansa (saratani).
Alikuwa anatoa mafuta bure kusaidia maskini wa Marekani katika kipindi cha baridi. Huko matajiri hawana taimu na maskini.
Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. Amen.
Katika kideo, Rais Chavez anamwita Rais Bush Jr. shetani huko Umoja wa Mataifa.
Kwa habari zaidi za kifo cha Rais Chavez soma: http://www.cnn.com/2013/03/05/world/americas/venezuela-chavez-main/index.html?hpt=hp_t1
Labels:
Cancer,
Kifo,
Msiba kansa,
President Hugo Chavez,
Venezuela
Subscribe to:
Posts (Atom)


