Wednesday, March 06, 2013

Rais wa Venezuela, Hugo Chavez Afariki Dunia!Wadau, leo tumempoteza mtetezi wa maskini, Rais Hugo Chavez wa Venezuela. Alikuwa na miaka 58. Aliugua ugonjwa wa kansa (saratani).

Alikuwa anatoa mafuta bure kusaidia maskini wa Marekani katika kipindi cha baridi. Huko matajiri hawana taimu na maskini.

Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. Amen.

Katika kideo, Rais Chavez anamwita Rais Bush  Jr. shetani huko Umoja wa Mataifa.

Kwa habari zaidi za kifo cha Rais Chavez soma:  http://www.cnn.com/2013/03/05/world/americas/venezuela-chavez-main/index.html?hpt=hp_t1

1 comment:

Anonymous said...

RIP EL COMANDANTE HUGO. NABUBUJIKWA NA MACHOZI COMRAD MWANAHARAKATI.MPIGANAJI MPINGA MABEBERU KATUTOKA. NO IMPERIALISMO. ALUTA CONTINUA