Monday, December 04, 2006

Aftershock itaonyeshwa History Channel 12/19 and 12/20/06


Habari zenu wapendwa wasomaji. Ile sinema ya 'Aftershock: Beyond the Civil War' itaonyeshwa kwenye History Channel, siku ya jumanne 12/19/06 saa mbili usiku (8:00pm Eastern) na pia itaonyeshwa tena 12/20/06 saa sita usiku (12:00am Eastern midnight). Mimi naigiza humo kama mfanyakazi wa mzungu mbaguzi mno mwenye uchungu shauri ya Confederates kushindwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe Marekani miaka ya 1860's.

Kwa habari zaidi soma hapa:

http://www.history.com/schedule.do

Pia nimewahi kuandika kwa kirefu kuhusu hiyo sinema hapa:

http://swahilitime.blogspot.com/2006_06_01_swahilitime_archive.html

3 comments:

Anonymous said...

Chemi hongera sana kwa kuwa na part kwenye hii sinema yenye kujieleza kutokana na historia ya marekani jinsi ilivyokuwa.

Ningependa kama ungeweka picha ambayo umetokea. I hope hii picha uliyoweka ni Official poster. Pamoja na yote hayo unastahili pongezi sana.

Asante sana Chemi wewe ni mfano mzuri sana i wish kama utashea hii information na responsible websites na Blogs ambazo zita appreciate mchango wako kama Sifa ya watanzania kwa ujumla

Anonymous said...

i wish ningeiona, hongera na keep it up

zeze

Chemi Che-Mponda said...

Kwenye set walipiga picha zaidi ya 1,000, nimo kwenye kama 200. Bado sijapata CD lakini. Nikipata nitaposti.