Saturday, May 26, 2007

Umecheza Slots?


Hivi karibuni nilienda kwenye Casino cha Foxwoods, huko Connecticut na nilicheza na hizo slots. Usipokuwa mwangalifu inakula hela yako. Kama unabahati unarudi na kibunda. Niliona watu wakipata vibunda lakini wanarudishia casino!

Kila mtu na bahati yake lakini!

2 comments:

Mija Shija Sayi said...

Dada Chemi, unahitajika katika jumuiya, pitia mlango huo hapo chini.

http://www.blogutanzania.blogspot.com/

Anonymous said...

The house always win,hiyo ndo principle ya casino.We ukila ata milioni mwenzako na yeye hulia hizo hizo au utarudi tu next time utaliwa ahat kama sio kwa mara moja.