Tuesday, January 22, 2013

Mimi Katika Sinema Here Comes the Boom

Haya wadau, katika sinema, Here Comes the Boom, niliigiza kama moja wa wanafunzi wa darasa la watu wazima wanaotafuta uraia wa Marekani. Darasa ilikuwa inafundishwa na Mr. Voss (Kevin James) ambaye anatafuta hela zaidi ya mshahara wake kwa ajili ya kusaidia wanafunzi wa muziki katika shule ya sekondari anayofundisha.  Mimi nilikuwa background actor, hivyo siongei. Nimefananikiwa kupata picha za scenes zangu.
8 comments:

Anonymous said...

Hongera Da Chemi!

Anonymous said...

Safi sana Dada Chemi. Nitatafuta DVD ili niangalie.

Anonymous said...

Kweli unapiga hatua! Utafika Da Chemi!

Anonymous said...

Safi sana. I hope our Tanzanian actors will learn something.

Anonymous said...

I am watching the movie at the moment and when I saw your face, I had to visit your blog and see if you posted anything about it... And yes you did... Hongera sana dada

Anonymous said...

Hongera Dada Chemi! Nimefurahi kweli kukuona kwenye Boom. Wanangu wanapenda sana hii movie.

Anonymous said...

Matumizi ya extras kuipa filamu uhai na uhalisia bado ni tatizo kubwa sana katika sinema za Bongo.

Anonymous said...

Aisei, safi sana Dada Chemi.