Saturday, December 06, 2014

TAHADHARI MUHIMU KUTOKA MICHUZI MEDIA GROUPMKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA MICHUZI MEDIA GROUP (MMG) ANAPENDA KUTAHADHARISHA WADAU POPOTE WALIPO KUHUSIANA NA UJUMBE (PICHANI) AMBAO UPO KWENYE FACE BOOK NA HATA KWENYE TWITTER) KWAMBA UJUMBE HUO  HAUHUSIANI KWA LOLOTE NA ANKAL MUHIDIN ISSA MICHUZI,  WALA MMG AMA WAKALA WAKE. 

HIVYO TUNAWASIHI TUSIHUSISHWE NAYO NA PIA TUNAWAOMBA KUWA MACHO NA MAMBO KAMA HAYA, MAANA ULAGHAI NA UTAPELI MITANDAONI NI MWINGI MNO.

AHSANTENI SANA
ANKAL

1 comment:

Anonymous said...

Hata kama ingekuwa ni kweli, hivi kuna umuhimu gani wakuanza kutaka kujua hayo yote juu ya mpenzi wako? Kanuni yangu ni kwamba kama ikatokea simwamini mpenzi wangu ni bora kuachana naye siwezi poteza muda wangu kufatilia hayo yote. Naamini love it's about, 'honest and trust'