Saturday, August 08, 2015

Dr. Ben Carson Mgombea Rais Upande wa Republican ni Mnafiki


Wadau, Dr. Ben Carson ni mweusi pekee mgombea urais wa Marekani upande wa Republican safari hii.  Ni daktari wa Ubongo (Neurosurgeon),  Kazi yake kuponda weusi, huko akisahau kuwa yeye ni mweusi, mwam ayake alimlea bila baba na alikuwa kwa foods stamp na kutibiwa na serikali bure kwenye Medicaid! hebu aache Unafiki! Kazi kulamba mikundu ya wazungu!

2 comments:

Anonymous said...

"Kazi kulamba mikundu ya wazungu!" Kweli Da Chemi una hasira na huyu jamaa.

Anonymous said...

Lugha yako wakati mwingine haina staha jinsi nikufahamuvyo. Punguza munkali