Saturday, December 12, 2015

Namba za Simu za Kuripoti Wanaofuja Hela za Serikali!1 comment:

Anonymous said...

Kwa kweli waliozoea kula wanalia! Kuna dingi alitegema kupata dola za USA 20,000 kwenda kwenye somo ya Mwezi moja UK. Alikuwa ana mipango ya kuzitumia kwenye mambo yake. Kalia. Kitambi kimepungua!