Wednesday, December 16, 2015

Nunua Tiketi ya Ndege Kwa Njia ya Installments Kupitia TuzolaTuzola ni kampuni ya waTanzania wanaoishi Marekani.  Kama huna hela  kamili ya kununua tiketi ya ndege unaweza kununua kwa kulipa kiasi awali, na baadaye ulipe hela iliyobaki (installments).  Kama unakaa Marekani unaelewa vizuri mambo ya kulipa bili kwa installment.

No comments: