Mcheza sinema maarufu Morgan Freeman na mke wake wameachana. Walikuwa wametengana tangu Mzee Morgan alivyopata ajali ya gari akiwa na mwanamke mwingine. Pia iligundulika kuwa alikuwa anatembea na mjukuu wake tangu ana miaka 16. E'dena Hines ana miaka 27 sasa na atategema kuwa Mrs.Morgan Freeman mtarajiwa. Nataka kutapika! Hata haya hawana.
Showing posts with label Incest. Show all posts
Showing posts with label Incest. Show all posts
Saturday, September 18, 2010
Morgan Freeman na Mke Wake Waachana Rasmi
Mcheza sinema maarufu Morgan Freeman na mke wake wameachana. Walikuwa wametengana tangu Mzee Morgan alivyopata ajali ya gari akiwa na mwanamke mwingine. Pia iligundulika kuwa alikuwa anatembea na mjukuu wake tangu ana miaka 16. E'dena Hines ana miaka 27 sasa na atategema kuwa Mrs.Morgan Freeman mtarajiwa. Nataka kutapika! Hata haya hawana.Thursday, July 30, 2009
Morgan Freeman Kumwoa Mjukuu Wake! Haki ya Mungu!!!!

Duh! Yaani hii habari inafanya damu ichemke kwa hasira. Mcheza sinema maarufu, Morgan Freeman (72) yuko mbioni kumwoa mjukuu wake, E'Dena Hines (27)! Ingawa si mjukuu wa damu, huyo binti bado ni mjukuu wake! Ni mjukuu wa mke wake wa kwanza.
Habari zinasema alianza kutembea na huyo binti tangu ana miaka kumi na sita na ndo chanzo cha yeye na mke wake wa miaka mingi, Myrna kuachana. Habari ni chafu sana kuhusu huyo Morgan Freeman. Jinsi mke wake alivyogundua anatembea na mjukuu, alivyokuwa anatembea na wanawake wengi. Na kuna habari kuwa ilikuwa ndoto ya huyo mjukuu kuwa mke wa Morgan Freeman na sasa inakamilika!
Mnaweza kusoma zaidi hapa:
Labels:
E'Dena Hines,
Incest,
Mjukuu,
Morgan Freeman
Subscribe to:
Posts (Atom)


