Mcheza sinema maarufu Morgan Freeman na mke wake wameachana. Walikuwa wametengana tangu Mzee Morgan alivyopata ajali ya gari akiwa na mwanamke mwingine. Pia iligundulika kuwa alikuwa anatembea na mjukuu wake tangu ana miaka 16. E'dena Hines ana miaka 27 sasa na atategema kuwa Mrs.Morgan Freeman mtarajiwa. Nataka kutapika! Hata haya hawana.Saturday, September 18, 2010
Morgan Freeman na Mke Wake Waachana Rasmi
Mcheza sinema maarufu Morgan Freeman na mke wake wameachana. Walikuwa wametengana tangu Mzee Morgan alivyopata ajali ya gari akiwa na mwanamke mwingine. Pia iligundulika kuwa alikuwa anatembea na mjukuu wake tangu ana miaka 16. E'dena Hines ana miaka 27 sasa na atategema kuwa Mrs.Morgan Freeman mtarajiwa. Nataka kutapika! Hata haya hawana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



3 comments:
Huyo mjukuu si mjukuu wa damu lakini bado ni mjukuu. Kwa kweli ni jambo la aibu.
Hakuna cha aibu wala nini,malipo ni hapa hapa duniani yeye alimtoa mwenzie na sasa ni zamu yake.
Mhhh labda cha ajabu hapa ni kuoa `mjukuu' Mhhh, mimi nashindwa kuelewa kidogo, kuhusu haya mapenzi!
Hivi mapenzi yana mpaka `wa umri' kuwa ukiwa mzee huwezi kumpenda `mjukuu'...aaah, haya mapenzi ni ya ajabu eeeh, umpende saizi yako, umri sawa au mpishane kidooogo!
Basi kumbe mapenzi yana `masharti' sio kama nilivyojua mimi, kuwa mapenzi yanatoka moyoooni.
Kweli nahitaji shule ya mapenzi...nitakwenda kuisomea!
Post a Comment