Showing posts with label Jiachie. Show all posts
Showing posts with label Jiachie. Show all posts

Monday, July 14, 2008

Mh. Zitto Kabwe hajambo sasa.

Picha kwa hisani ya http://bongopicha.blogspot.com/

Wadau, kuna habari njema. Mh. Zitto Kabwe (Kigoma Kaskazini - Chadema) hajambo sasa na ametoka hospitalini siku ya Alhamisi wiki iliyopita.
*************************************************
Zitto atoka hospitali

Thursday, July 10, 2008

Mbunge Machachari nchini Zitto Zuberi Kabwe (Kulia) akiwa na ndugu yake mara baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali ya taifa ya Muhimbili leo jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa siku mbili.Mh Kabwe mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akisumbuliwa na ugonjwa wa homa ya matumbo.


Friday, August 17, 2007

Mapaja ya Ajabu?


Nimeona hii picha kwa Michuzi Jr. (Jiachie Blog) Sasa nimebakia kushangaa haya mapaja ya huyo densa yako hivyo na ma stretch marks kibao au kuna mtu kamfanyia ubaya na photo shop software?
Ni mchezaji wa Koffi Olomide.