Monday, July 14, 2008

Mh. Zitto Kabwe hajambo sasa.

Picha kwa hisani ya http://bongopicha.blogspot.com/

Wadau, kuna habari njema. Mh. Zitto Kabwe (Kigoma Kaskazini - Chadema) hajambo sasa na ametoka hospitalini siku ya Alhamisi wiki iliyopita.
*************************************************
Zitto atoka hospitali

Thursday, July 10, 2008

Mbunge Machachari nchini Zitto Zuberi Kabwe (Kulia) akiwa na ndugu yake mara baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali ya taifa ya Muhimbili leo jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa siku mbili.Mh Kabwe mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akisumbuliwa na ugonjwa wa homa ya matumbo.


6 comments:

Anonymous said...

Haya ndo matokeo ya yale unga yaliyosambzwa usiku huko Bungeni! Na bado tutasikia wengine wanaugua.

Anonymous said...

Hakuugua gonjwa wa kawaida huyo! Juju hiyo!

Anonymous said...

Hiyo shati mheshimiwa, ni kama Michuzi na Ze Fulana na Mjengwa na Ze Chai. Tehetehetehetehetehh

Unknown said...

Hi Dada Chemi,
Hii picha si ya huyo jamaa uliyemcredit ila kaichapa toka bloguni na kijifanya yake.

Anonymous said...

mungu akulinde bwana mdogo,kwani hilo juju la mafisadi limekukosa kosa ,naona nawe sio mdogo,yaani kigoma wataalamu wako wazuri-ama sio.chenge na jopo lake bado wanakuendea sambamba..punguza kuwakosoa sana bungeni na kwenye vyomba vya habari vya hapa na nje.kumbuka marehemu amina.chifupa.ni hao hao mafisadi wauza unga ndio waliomchukua msukule.....take care!!

Chemi Che-Mponda said...

Bongo Pixs,

Asante sana kwa sahisho. Nimebadilisha photo credit.