
Nimepokea kwa E-Mail:
Na Mdau A.R.
Jamaa yangu mmoja ameajiri na kampuni inayomilikiwa na mme na mke.
mke immediate bosi wa kijana huyu ambaye hata hajaoa
Siku
moja akapewa pesa laki moja akimwambia atafute usafiri na maekezo kwa
wakutane hoteli fulani kuna kazi anataka wafanye mahali tulivu.
Kijana alijua mambo ya kiofisi, kachukua usafiri hadi kaenda
kule hotelini; kufika kamkuta mama akimsubiri mapokezi, akampokea na
kumeleka chumbani, kijana na laptop yake hajui hili na lile.
Mama
kakaa, kitandani kijana kwenye kochi, mama yule bosi akaanza kusimulia
matatizo ya mumewe, kwamba yupo busy na mambo ya biashara ampi tunda. Kijana pamoja na kwamba hajaoa, akaanza kumpa shule jinsi ya kumfanya
mmewe ampe atakacho, kabla ya kijana kumaliza maelezo yake yule mama
akamwambia hata hamwelewi anamwambia nini maana anajisikia hamu sana ya
kufanya ni muda mrefu.
Yule kijana kwa hofu akasema ngoja nikimbie pale famasi labda
kuna dawa za kutuliza hamu nikuchukulie umeze; mama akasema hataki dawa,
mara akaingia chooni maana chumba alichokua kilikuwa na choo ndani.
Alipotoka huko alikuja mtu nguo zote kaacha huko chooni, kijana akataka
kutoka nduki, mama akamdaka na kumrusha kitandani huku huku akimpa
ishara ya kutokupiga kelele, kammkwangua sruali na ile kitu ya Ludoviki,
kijana naye akapa hamu, wakacheza. Walipomaliza mama akampa yule kijana miloni moja na kumwambia asante sana kwa kazi nzuri
Asubuhi
ofisini kijana anaona aibu hata kumwangalia lakini mama hajari hata
kidogo, siku tatu baada ya ile kapewa laki tena na maelekezo ya kwenda
kule hotelini, kijana katii amri ya bosi na kwenda hotelini kutoa dozi
SASA yamekua mazoea lakini si mapenzi maana anapewa aamri.
sasa anahisi bosi mkubwa (mme) kajua sasa anataka kuacha kazi maana
mkubwa anamuogopa sana. sasa aniomba ushauri nami sina, mwenye uzoefu
katika haya anisaidie nimuokoe maana kuacha kazi na kuja kupata nyingine
kasheshe