Showing posts with label Miracle Healing Crusade. Show all posts
Showing posts with label Miracle Healing Crusade. Show all posts
Wednesday, July 17, 2013
Picha za Kijana wa KiChina Aliyeponyeshwa na Askofu Kakobe
Haya wadau, picha hizi hapa za kijana wa kijana aliyekuwa hawezi kutembea anatumia wheelchair, aliyeponyeshwa na Askofu Kakobe mwezi uliyopita kwenye Mkutano Toronto, Canada.
Labels:
Archbishop Zakaria Kakobe,
Canada,
Healing,
Kupona,
Mchina,
Miracle Healing Crusade,
Toronto
Friday, June 28, 2013
Mama Aliyetembea Baada ya Miaka 18 Kwenye Wheelchair
Huyo Mama alikuwa kwenye wheelchair miaka 18. Utaona anatembea na lazima atahitaa mazoezi zaidi ili aweze kutembea vizuri. Iliktokea kwenye Bishop Kakobe's Toronto Miracle Healing Crusade, Saturday 6/22/13/
Watu Wangapi Walihudhuria Mkutano wa Askofu Kakobe Toronto?
Naona kumekuwa na maswali mengi kuhusu watu wangapi walihudhuria Mkutano wa Askofu Kakobe mjini Toronto. Idadi ya kweli ni maelfu, lakini wengine eti kwa kutizama picha wananipinga wanasema mamia. Kwanza, hamkumwepo, mimi nilikuwepo.
Ile Rexall Tennis Center ina chukua watu 10,000 (capacity). Ni kweli aikujaa. Lakini kila siku watu 2,000-3,000 walihudhuria. Parking lot zilijaa, kulikuwa na polisi wa kuongoza trafiki. Pia Paramedics (kuhudumia Wagonjwa walikuwepo wanne kila siku). Picha nilipiga lakini hazikutoka vizuri za hao Paramedics. Pia sikuona mtu aliyeenda kupata huduma yao, walienda kwa kwa Askofu.
Wakati Askofu alivyoomba watu waende kumpokea Bwana Yesu ni mamia walioenda kwa vile wengine wengi walikuwa wamekwishampokea.
Watu walikuwa wanakaa sections fulani, ndo maan zingine zilikuwa tupu. Niliona watu wa kila rangi pale, na hata waislamu. Ile stadium ni kubwa. Labda mwaka wataijaza. Pia hakuna fujo iliyotokea pale. Mambo yalienda vizuri sana.
Roho ya Bwana Yesu ilikuwepo pale Rexall. Amen. Askofu aliwaombea wafanyakazi wa pale Rexall na mji wa Toronto kwa ujumla.

Tuesday, June 25, 2013
Picha Zaidi za Miracle Crusade wa Askofu Kakobe Toronto
![]() |
Watu wakimpokea Yesu kama Mwokozi wao - Picha Kutoka Kakobe International Ministries |
![]() |
Watu wakimpokea Yesu kama Mwokozi wao - Picha Kutoka Kakobe International Ministries |
![]() |
Watu wakimpokea Yesu kama Mwokozi wao - Picha Kutoka Kakobe International Ministries |
Halleluyah! |
Baadhi ya Waumini |
Baadhi ya Waumini |
Huyo kijana wa KiChina kwenye wheelcahir alitoka kwenye mkitano akitembea mwenyewe na furaha kubwa! |
Wagonjwa wakiombewa |
Gari la Mama Nuru wa Toronto! |
Baadhi ya Walinzi |
Monday, June 24, 2013
Askofu Kakobe Amaliza Ziara Yake Toronto, Canada
Wadau, nimekuwa hapa Toronto, Canada kwenye mkutano wa Askofu Kakobe. Maelfu ya watu wa kila rangi na hata waislamu walitokea. Kulikuwa na wahindi, wachina, wakorea, wazungu pamoja na waafrika wengi. Tumeshuhudia miujiza! Jana kijana wa kiChina aliyekuwa kwenye wheelchair aliweza kutembea. Bibi ambaye alikuwa kwenye wheelchair miaka 18 aliweza kutembea, viziw walisikia! Watu waliolewa mapepo! Hapa Toronto, Askofu Kakobe amefanya mengi! Mkuanta huo ulikuwa June 20-23, 2013 Rexall Centre, York University. Kweli Mungu anamtumia Askofu Kakobe!
Nimepiga picha hizi kwenye mkutano jana na juzi.
Nimepiga picha hizi kwenye mkutano jana na juzi.
Askofu Kakobe Jukwaani |
Walioamua kuokoka |
Wednesday, June 19, 2013
Bishop Zachary Kakobe Yuko Toronto, Canada
Since
Bishop Zachary Kakobe's arrival in Toronto for the Miracle Healing
Crusade, a number of Press Conferences and Interviews have been held
with this Man of God. During the conferences and interviews, when
Journalists asked Bishop Kakobe on what the people of Toronto should
expect at his Crusade which will be held at the Rexall Centre Tennis
Stadium, York University, from June 20-23, 2013; the Servant of God
spoke up with a very marked and unusual boldness saying, "Signs, wonders
and miracles will be the order of the day at the Crusade." To find out
more of what he spoke at the Press interviews, watch a Video of one of
the Press Conferences on YouTube titled, "MIRACLE HEALING PRESS
CONFERENCE", by following this link https://www.youtube.com/ watch?v=SMOwt2D_sUA
You can also play the Video right here on this Page, by clicking on the
"Play" icon on the image below. THE DURATION OF THE VIDEO is 7 minutes
and 1 second. STAY BLESSED!
Subscribe to:
Posts (Atom)