Friday, June 28, 2013

Mama Aliyetembea Baada ya Miaka 18 Kwenye WheelchairHuyo Mama alikuwa kwenye wheelchair miaka 18. Utaona  anatembea na lazima atahitaa mazoezi zaidi ili aweze kutembea vizuri. Iliktokea kwenye Bishop Kakobe's Toronto Miracle Healing Crusade, Saturday 6/22/13/

4 comments:

Agano said...

Oooh Goodness me!!!! the degree of gullibility one individual can show is beyond the pale.

Okay Da Chemi, sasa naamini kakobe ni mtabibu kwa jina la bwana, haleluyaaaaaa.... kakobe oyeeeee (sarcasm) OYEEEEEE......

Anonymous said...

Huyo mama ni kweli alikuwa mgonjwa. Ona anapata nafuu lakini siyo 100%> Kuna wakati karibu anaanguka. Ni kweli akifanya mazoesi atapata nafuu. Mungu ambariki. Asante mtumishi wa Mungu Askofu Kakobe.

Anonymous said...

Aiseee! Hii ni kweli na ajabu. Bwana Yesu apewe sifa.

Anonymous said...

Agano Agano!!

Jihadhari na kejeli zako kwa watumishi wa Mungu. Kila neno baya unalotamka utalitolea hesabu siku ya hukumu mbele ya Kristo Yesu. Uwe makini na unachokisema.