Friday, July 24, 2015
Ubaguzi Marekani - Kifo cha Sandra Bland
Sasa, huyo Dylan aliua watu weusi 9 waliokuwa wanasali kanisani. Alikamatwa na kuvalisha vest ya kuzuia risasi na kupewa chakula cha Take Out! Alikamatwa kwa adhabu kabisa!!!! Yaani nchi hii!
Sunday, December 21, 2014
Mweusi Mwenye Hasira Aua Polisi Mjini New York Halafu Ajiua!
Na sasa polisi wabaguzi wanasema kuwa watapiaga watu risasi na kujibu maswali baadaye! Yaani chuki na moyo ya ubaguzi unazidi! Kwa kweli mtuombee, maana sijui nchi hii inaelekea wapi! Wzaungu wen gine wana hasiri kwa vile nchi inatawaliwa na mweusi! Ingawa Raisi Obama kafanya mengi mazuri katika kipindi kifupia, hawawezi kumpa sifa hata kidogo! Wanamponda na kufanya kazi yake iwe ngumu!
Na tumwombee usalama wa Meya wa New York, Bill DeBlasio. DeBlasio ameoa mwanamke mweusi na ana watoto weusi, Amesema wazi kuwa amemonya mtoto wake aw mwanaglifu na polisi maana wanaweza kumwua kwa vile ni mweusi! Jana DeBlasio alivyoenda hospitalini, polisi walimpa mgongo! Wanasema kuwa DeBlasio ndo sababu yule kijana katoka Baltimore kuua polisi New York!
![]() |
Meya wa New York, Bill DeBlasio na Familia yake |
Weusi walioawawa na polisi hivi karibuni ni Eric Garner, Michael Brown, Tamir Rice, John Crawford, Sean Bell, na wengine.
**********************************************************
![]() |
Polisi waliowawa mjini New York - Rafael Ramos and Wenjian Liu |
NEW YORK (AP) - A gunman who vowed online to shoot two "pigs" in retaliation for the police chokehold death of Eric Garner ambushed two New York City officers in a patrol car and fatally shot them in broad daylight Saturday before running to a subway station and killing himself, authorities said.
Ismaaiyl Brinsley, 28, wrote on an Instagram account: "I'm putting wings on pigs today. They take 1 of ours, let's take 2 of theirs," two city officials with direct knowledge of the case confirmed for The Associated Press. He used the hashtags Shootthepolice RIPErivGardner (sic) RIPMikeBrown.
The officials, a senior city official and a law enforcement official, were not authorized to speak publicly on the topic and spoke on condition of anonymity.
Police said Brinsley approached the passenger window of a marked police car and opened fire, striking Officers Rafael Ramos and Wenjian Liu in the head. The officers were on special patrol doing crime reduction work in the Bedford-Stuyvesant section of Brooklyn.
"They were, quite simply, assassinated - targeted for their uniform," said Police Commissioner Bill Bratton, who looked pale and shaken at a hospital news conference.
The sudden and extraordinary violence stunned the city, prompted a response from vacationing President Barack Obama and escalated weeks of simmering ill will between police and their critics following grand jury decisions not to indict officers in the deaths of Eric Garner in New York and Michael Brown in Missouri. Garner and Brown were black; the officers who killed them are white.
Demonstrators around the country have staged die-ins and other protests following the grand jury decisions. The New York police union head declared there's "blood on the hands" of protesters and the city's mayor.
Brinsley took off running after the shooting. Officers chased him down to a nearby subway station, where he shot himself in the head as a subway train door full of people closed. A silver handgun was recovered at the scene, Bratton said.
"This may be my final post," Brinsley wrote in the post that included an image of a silver handgun. The post had more than 200 likes but also had many others admonishing his statements.
Bratton said the suspect made very serious "anti-police" statements online but did not get into specifics of the posts.
The Rev. Al Sharpton said Garner's family has no connection to the suspect and denounced the violence.
"We have stressed at every rally and march that anyone engaged in any violence is an enemy to the pursuit of justice for Eric Garner and Michael Brown," he said.
Brown's family condemned the shooting in a statement posted online by their attorney.
"We reject any kind of violence directed toward members of law enforcement. It cannot be tolerated. We must work together to bring peace to our communities," the family said.
Most of the protests have been peaceful, particularly in New York. Bratton said police were investigating whether Brinsley had attended any rallies or demonstrations and why he had chosen to kill the officers.
Brinsley was black; the officers were Asian and Hispanic, police said.
Mayor Bill de Blasio said the killings of Ramos and Liu strike at the heart of the city.
"Our city is in mourning. Our hearts are heavy," said de Blasio, who spoke softly with moist eyes. "It is an attack on all of us."
Scores of officers in uniform lined up three rows deep at the hospital driveway. The line stretched into the street. Officers raised their hands in a silent salute as two ambulances bore away the slain officers' bodies. The mayor ordered flags at half-staff.
In a statement Saturday night, Attorney General Eric Holder condemned the shooting deaths as senseless and "an unspeakable act of barbarism." Obama, vacationing in Hawaii, issued a statement saying he unconditionally condemns the slayings.
"The officers who serve and protect our communities risk their own safety for ours every single day - and they deserve our respect and gratitude every single day," Obama said. "Tonight, I ask people to reject violence and words that harm, and turn to words that heal - prayer, patient dialogue, and sympathy for the friends and family of the fallen."
The tragedy ended a bizarre route for Brinsley that began in Maryland early Saturday. He went to the home of a former girlfriend in a Baltimore suburb and shot and wounded her. Police there said they noticed Brinsley posting from the woman's Instagram account threats to kill New York officers.
Baltimore-area officials sent a warning to New York City police, who received it moments too late, Bratton said.
But the posts were apparently online for hours, though it's not clear if anyone reported them. Bratton called on New Yorkers to alert authorities of any threats to police they see - even if they don't seem real. "That information must get into the hands of the police officers," he said.
Brinsley had a history of arrests in Georgia for robbery, disorderly conduct and carrying a concealed weapon. Bratton said his last-known address was in Georgia, but he had some ties to Brooklyn.
Meanwhile, the department grieved the sudden and violent loss of the officers.
"Both officers paid the ultimate sacrifice today while protecting the communities they serve," Bratton said Saturday night.
Ramos was married with a 13-year-old son and had another in college, police and a friend said. He had been on the job since 2012 and was a school safety officer. Liu had been on the job for seven years and got married two months ago.
Rosie Orengo, a friend of Ramos, said he was heavily involved in their church and encouraged others in their marriages.
"He was an amazing man. He was the best father and husband and friend," she said. "Our peace is knowing that he's OK, and we'll see him in heaven."
De Blasio and the president of the Patrolmen's Benevolent Association, Patrick Lynch, have been locked in a public battle over treatment of officers following the grand jury's decision. Just days ago, Lynch suggested police officers sign a petition that demanded the mayor not attend their funerals should they die on the job. On Saturday, some officers turned their backs on de Blasio as he walked into the hospital.
"That blood on the hands starts at the steps of City Hall, in the office of the mayor," Lynch said. "After the funerals, those responsible will be called on the carpet and held accountable."
The last shooting death of a New York City officer came in December 2011, when 22-year veteran Peter Figoski was shot in the face while responding to a report of a break-in at a Brooklyn apartment. The triggerman, Lamont Pride, was convicted of murder and sentenced in 2013 to 45 years to life in prison.
---
Associated Press writers Jonathan Lemire and Tom McElroy in New York, Juliet Linderman in Baltimore and Josh Lederman in Honolulu contributed to this report.
Saturday, December 06, 2014
Kifo cha Eric Garner - Aluyeuawa na Polisi Mjini New York
Wadau, marehemu nilikuwa namfahamu. Nilimwona mara kadhaa huko Staten Island, New York. Pale alipouwawa kuna duka la vipodozi na mahitaji mengine. Mara nyingi ilikuwa nikimwona anatabasamu, alikuwa na umbo kama marehemu mume wangu ila mrefu zaidi. Bora alikuwa anauza hizo sigara kuliko kuwaibia watu au kuwa jambazi. Mara la mwisho kumwona Eric akiwa hai ni hiyo hiyo Julai, alikuwa na mke wake na watoto.
Wiki hii polisi aliyemwua, mzungu, yule aliyemkaba kaachiwa bila hatia. Yule polisi mshenzi anaitwa Daniel Pantaleo. Ukiona video unaona kabisa jinsi Panataleo anavyomwua, na utalia ukimsika ukisikia anasema, "I Can't Breathe!" (Siwezi kupumua). Na ni wazi kuwa Pantaleo alikuwa na chuki ya siku nyingi na marehemu. Yule kijana aliyepiga video ya mauaji ya Eric kafungwa! Jamani!
Watu wanaandama kwa wingi sasa karibu kila mji mkuu hapa Marekani! Watu weusi wameuawa na polisi waliowaua wanaachiwa. Ni kama vile maisha ya mtu mweusi haina thamani! Ni maajabu, weusi na wazungu wanaandana pamoja kudai haki kwa watu weusi! Wana hasira maana wengi wameuawa na hakuna anayedhibitiwa. Tusiwasahau, Michael Brown, Sean Bell, Trayvon Martin, Amadou Diallo, Tamir Rice, na wengine wengi!
Mwenyezi Mungu atulinde hapa Marekani!
![]() |
Mauaji ya Eric Garner, Staten Island, New York |
Monday, August 18, 2014
Ubaguzi Marekani - Mauaji ya Michael Brown
It is a shame that Racism is Alive and Well in America today. A Black person is always guilty until proven innocent. A white cop shoots 18 year old Michael Brown 6 times. While that officer is free and in hiding somewhere the police make every attempt to discredit the deceased. Good cops do not execute people! Will there be justice for Michael Brown?
Tuesday, June 19, 2012
Slave Shoe Sneakers/ Raba za Kitumwa!
Jamani hata haya hawana! Ujue hakuna mtu mweusi hata moja alikuwepo wakati hii design ya raba inatoka. Weusi ndo wanaoogoza kwa idadi ya wafungwa Marekani, halafu tusisahau kuwa weusi walikuwa watumwa hapa kwa zaidi ya miaka 200! Wafungwa wanavaa rangi ya orange! Hebu cheki hii design. Tumetukanwa vibaya sana!
To Adidas:
I am horrified at the design of this shoes. As an African American this is an insult to us. Why? Our ancestors were not considered human, they were chained and shackled, beaten. Today, the legacy continues as blacks disproportionately make up a large number of the prison population. ORANGE is a prison color! They wear chains and shackles in there. So this must be some kind on subtle conditioning technique! Shame on Adidas! I will never buy anything labelled Adidas ever again.
- Chemi
![]() |
Slaves for Sale in USA |
![]() |
Removing a slaves foot shackles |
![]() |
Mfungwa Marekani |
Monday, July 20, 2009
Prof. Henry Louis Gates Akamatwa na Polisi hapa Cambridge!


Sisi weusi wachache tuliobaki kwenye nyumba za kawaida hapa Cambridge, Massachusetts tunakaa roho juu juu! Jirani zetu wazungu wanatazama kila tunachofanya na hawasiti kuita polisi wakidhani unafanya kosa lolote. Mfano kuna mitaa fulani ukitembea mweusi wanaweza kuita polisi, "THERE'S A BLACK MAN WALKING DOWN MY STREET!" Na polisi watakuja na uwe na kitambulisho cha kuonyesha la sivyo uende ukalale jela! Unaogopa kwenda duka la jirani bila kitambulisho! Wiki mbili zilizopita nilikuwa naedesha gari langu, nilikuwa na rafiki yangu ndani ya gari. Nilisimama kwenye mtaa fulani ila nicheki GPS kujua tuelekea wapi. Wazungu walitoka ndani ya nyumba ya na kuandika pleti ya gari!
Hizi nyumba za kawaida zimekuwa gentrified na wanaishi wazungu na yuppies na mbwa wao! Mbwa na paka ni watoto wao. Weusi wamefukuzwa kiujanja. Walipandishiwa kodi, au kuna kundi ilikuwa inapita kwenye nyumba ziliokuwa zinamilikiwa na weusi na kununua nyumba zao kwa bei nzuri. Lakini nia yao ilikuwa kusafisha eneo kusudi kusiwe na weusi. Eneo nayo kaa Cambridgeport kati vyuo vikuu ya Harvard na MIT, zamani ilikuwa ya weusi lakini sasa ni la wazungu. Ukiona ilivyo sasa huwezi kujua!
Mwaka juzi nikiwa napita kwenye sidewalk nyumba ya jirani nikaulizwa nakwenda wapi kwa hasira na mzungu fulani. Nilikuwa nimevaa koti la winter, hivyo hakuniona vizuri. Alipogundua ni mimia aliona haya na kudai eti hakusema hivyo! Shenzi Taipu! Zee lingine la kizungu kaniuliza nafanya nini nikiwa naosha gari langu mbele ya nyumba nayo kaa. Nikamwambia yaani miaka yote nakaa hapa leo ndo unaongea na mimi! Hebu nenda zako!
Na hao vijana wetu ndo usiombe. Ukisikia kuna wizi nini umetokea tunawaambia watoto waingie ndani haraka, maana hao polisi wa Cambridge hawasiti kuwakamata hata kama hawana hatia. Unasikia Polisi wanatafuta, black male, 5'8 wearing a sweatshirt! Jamani si anaweza kuwa mtu yeyote! Na maskini, mnakumbuka kesi ya kijana wetu Justin Cosby alivyouwawa huko Harvard. Yaani mara tu, walikuwa wanauliza alikuwa anafanya nini Harvard!
Kuna siku mwanangu na rafiki zake walikuwa wanatembea kutoka kwenye shule yao ya msingi karibu na Harvard. Wakawa wanakatisha Harvard Yard. Walikuwa vijana weusi kama saba wote chini ya miaka 13. Walikuwa wanacheka cheka na kuongea kwa sauti kama kawaida ya vijana. Mvulana wa kizungu alishikwa na hofu na kusema eti kuna kundi la weusi linataka kumwibia na polisi waliitwa! Baada ya siku hiyo hao vijana hawajakatisha Harvard Yard tena kwa hofu wataitwa wezi. Na wesui wengi wanaokaa Cambridge hawana hamu ya kusoma Harvard shauri ya ubaguzi walioshuhudia.
Siku nyingine tukiwa kwenye basi, msichana wa kizungu ghalfa aliaanza kumshambulia binti mweusi aliyokuwa amekaa naye kwenye kiti. Polisi walimkamtaa yule mweusi aliyeshambuliwa kwanza mpaka tulivyowaeleza ni mzungu alimyemshambulia mweusi! KHAA! Hata hivyo mzungu aliachiwa. We mweusi umshmabulie mzungu bila sababu au ukiwa na sababu na utakiona cha mtema kuni!
Ubaguzi upo mpaka mashuleni ya msingi na hiyo Cambridge Rindge & Latin School ambayo ni shule pekee ya sekondari serikali hapa Cambridge. Loh, nina story za kuwasimulia lakini moja ya kusikitisha ni kuwa KKK walikuwepo hapa Cambridge, na walimfanya Mwalimu Mkuu wa Agassiz School (sasa Baldwin), Peggy Avarette kukimbia na kuacha kila kitu, baada kutishia kumwua na kuchoma gari lake mbele ya nyumba aliyokuwa anakaa karibu na Harvard! Mwanangu alikuwa anasoma hapo wakati huo na nilipambana vikali na hao wabaguzi. Lakini itabidi niwasimulie siku nyingine!
Prof Gates ana heshima kubwa hapa Cambridge na dunia nzima kwa utafiti aliyofanya kuhusu historia ya watu weusi. Sasa kama yeye anaweza kukamatwa, sisi makamchape tulie tu!
Kwa sasa mjue, RACISM IS STILL ALIVE AND WELL IN CAMBRIDGE, MASSACHUSSETTS! Ndiyo wadau, tuna Rais mweusi lakini ubaguzi bado upo Marekani!
***********************************************************************
A black Harvard professor, who has been named by Time magazine as one of the top 25 most influential Americans, accused police of racism after he was arrested trying to get into his own home.
Henry Louis Gates was arrested for disorderly conduct after police said he "exhibited loud and tumultuous behaviour". He was later released.
The head of Harvard's WEB DuBois Institute for African and American Studies, shouted to a police officer "this is what happens to a black men in America" according to a police report.
The incident happen last Thursday after a call to police that "two black males" were breaking into Gates's home near the university campus in Cambridge, Massachusetts.
Later Gates refused to discuss the incident. But his lawyer said he was arrested after he forced his way through his front door because it was jammed. The professor's colleagues blamed the arrest on racial profiling.
Gates initially refused to show the officer his identification, but later showed his university pass. "Gates continued to yell at me, accusing me of racial bias and continued to tell me that I had not heard the last of him," the police officer wrote.
His friend and fellow Harvard scholar Charles Ogletree, said: "He was shocked to find himself being questioned and shocked that the conversation continued after he showed his identification."
Allen Counter, who has taught neuroscience at Harvard for 25 years, said he was stopped on campus by two police officers in 2004 after being mistaken for a robber. They threatened to arrest him when he could not produce identification.
"We do not believe that this arrest would have happened if Professor Gates was white," Counter said. "It really has been very unsettling for African-Americans throughout Harvard and throughout Cambridge that this happened."
Lawrence D Bobo, professor of Social Sciences at Harvard, said he met Gates at the police station and described his colleague as feeling humiliated and "emotionally devastated."
"It's just deeply disappointing but also a pointed reminder that there are serious problems that we have to wrestle with," he said.
Bobo said he hoped Cambridge police would drop the charges.
***************************************************************
Kwa habari zaidi someni:
http://www.nytimes.com/2009/07/21/us/21gates.html
http://www.bloomberg.com/apps/news?pid=20601103&sid=anupUHzw.F0Y
http://www.pbs.org/kcet/tavissmiley/voices/725.html