Showing posts with label Wabaguzi. Show all posts
Showing posts with label Wabaguzi. Show all posts

Wednesday, August 29, 2012

Mpiga Picha Mweusi Azomewa Kwenye Mkutano wa Republicans!

Mfuasi wa Ron Paul mara kabla ya kutolewa kwenye Mkutano Mkuu wa Republicans jana

Wadau, siku zote nimekuwa nikisema kuwa Republicans ni wabaguzi. Hawajali maslahi ya maskini, weusi au wenye rangi! 

Hebu ona yaliyotokea kwenye mkutano wao wa kumteua mgomea Rais. Mpiga picha mweusi, mwanamke, karushiwa karanga na kuambiwa, "Hivyo ndotunvyofanya wanyama!" Duh! Yaani mtu mweusi ni mnyama sawa na nyanyi katka macho yake!

Juzi, Romney alisema kuwa hakuna aliyeuliza kuhusu cheti chake cha kuzaliwa. Hiyo ni statement ya kibaguzi! Alikuwa na maan kwa vile mimi mzungu huna haja ya kuuliza nimezaliwa wapi! Wadau mnahabari kuwa baba yake Romney, George Romney alizaliwa Mexico?  Mbona hawaji juu!??

**********************************************

CNN Camerawoman Assaulted At GOP Convention


http://www.webpronews.com/cnn-camerawoman-assaulted-at-gop-convention-2012-08
By Amanda Crum
An African-American camerawoman who was attending the Republican National Convention for CNN was assaulted yesterday by a man who threw peanuts at her and yelled loudly, “This is how we feed animals”. He was promptly escorted out.

Journalist David Shuster was the first to announce the news that something had gone down by posting it on Twitter. He has since updated his feed with confirmations from CNN that an incident did occur and that one other person was eventually ejected from the convention.

“CNN can confirm there was an incident directed at an employee inside the Tampa Bay Times Forum earlier this afternoon. CNN worked with convention officials to address this matter and will have no further comment,” the network’s statement read.

While CNN’s statement on the matter was decidedly vague, officials at the convention also released a statement which said, in no uncertain terms, that they would not put up with such behavior.

“Two attendees tonight exhibited deplorable behavior. Their conduct was inexcusable and unacceptable. This kind of behavior will not be tolerated.”

Kwa Habari zaidi BOFYA HAPA:

Saturday, January 17, 2009

Wabaguzi wachoma Moto Kanisa la Weusi

Wazungu wabaguzi watatu wamekamatwa huko Springfield, Massachusetts kwa kuchoma moto kanisa la weusi huko. Hao wabaguzi walisema kuwa walichoma moto kanisa hilo kwa vile walichukizwa na mtu mweusi kuchaguliwa kuwa rais wa Marekani.

Mnaweza kusoma habari zaidi hapa:

http://www.boston.com/news/local/massachusetts/articles/2009/01/17/church_arson_tied_to_racism/

Na Obama anavyokaribia kuapishwa weusi Marekani wameonywa kuwa matendo ya kibaguzi dhidi yao yanaweza kuongezeka.