Showing posts with label Barack Obama. Show all posts
Showing posts with label Barack Obama. Show all posts

Saturday, January 17, 2009

Wabaguzi wachoma Moto Kanisa la Weusi

Wazungu wabaguzi watatu wamekamatwa huko Springfield, Massachusetts kwa kuchoma moto kanisa la weusi huko. Hao wabaguzi walisema kuwa walichoma moto kanisa hilo kwa vile walichukizwa na mtu mweusi kuchaguliwa kuwa rais wa Marekani.

Mnaweza kusoma habari zaidi hapa:

http://www.boston.com/news/local/massachusetts/articles/2009/01/17/church_arson_tied_to_racism/

Na Obama anavyokaribia kuapishwa weusi Marekani wameonywa kuwa matendo ya kibaguzi dhidi yao yanaweza kuongezeka.

Wednesday, January 14, 2009

Bibi yake Obama Atakuwepo D.C.


Bibi yake Barack Obama, wa Kenya, Sarah Obama (86) yuko njiani kuja Marekani kwenye sherehe ya kumwapisha mjukuu wake kuwa Rais wa Marekani. Sherehe za kumwapisha zitakuwa jumanne ijayo 1/20/09.

Mungu ambariki na amlinde katika safari yake. Nadhani maishani mwake hakutegemea kuwa mjukuu wake atanyakua wadhifa mkubwa hivyo.

Mnaweza kuona video hapa:


Kwa habari zaidi someni:

Friday, January 09, 2009

Siku ya Kuapishwa Rais Obama Inakaribia

Wadau, wangapi mmepanga kwenye huko Washington D.C. kwenye Inauguration (Sherehe za Kuapishwa) ya Barack Obama? Nasikia itakuwa balaa huko kwa jinsi watu watakavyojazana. Vyumba vya hoteli hakuna.

Pia watu wa usalama hapa wame weka masharti mengi kwa wanaoenda. Hakuna kwenda na kiti, mwavuli, backpack, na mambo mengi. Simu za mkononi hazitafanya kazi maana signals ziatkuwa jammed.

Pia wana usalama wanasema katika historia hakuna rais aliyetishiwa maisha kama Barack Obama. Na wanasema kuwa hii ni kwa sababu ni mweusi. Wabaguzi nchi hii bado wanachukia kushinda kwa rais Obama.

Wakati huo huo watu wanaanza kushangilia kuondoka kwa Rais Bush! Wanasema jamaa kaharibu nchi na kutesa watu!

Kwa habari zaidi someni:

http://www.cnn.com/2009/POLITICS/01/08/inauguration.security/index.html?iref=mpstoryview

Tuesday, December 09, 2008

Ufisadi Marekani - Gavana wa Illinois Akamatwa!

Gavana wa Illinois, Rod Blagojevich

Ni aibu kweli hapa Marekani kusikia kuwa Gavana mzima kakamatwa kwa kuomba rushwa! Yaani ni jambo la aibu sana.

Habari zinasema kuwa Gavana wa Illinois, Rod Blagojevich alikuwa anauza nafasi ya uSenator ambayo iko wazi kwa vile aliyekuwa na kiti hicho, Barack Obama ni rais mteule. Gavana ndiye ana wajibu wa kumteua mtu wa kuchukua nafasi aliyoacha Obama.

Wanasema pia kuwa alikuwa anamtafutia mke wake kazi nono.

Kwingine, haya ni mambo ya kawaida, lakini kwa Marekani haya makosa ni makubwa kweli kweli. Itabidi ajiuzulu kama wa ushahidi kuwa ni kweli kaomba rushwa!

Kwa habari zaidi someni:

Monday, November 24, 2008

Wednesday, November 19, 2008

Al Qaeda wamtishia Obama

Barack Obama ni rais mteule wa Marekani hata hajaapishwa, na tayari Al Qaeda wanamtumia vitisho! Doh! Wanamtukana na kusema kuwa ingawa baba yake ni mwislamu na kakulia kikristo anawaabudu wayehudi!

Unaweza kupata habari zote CNN.

http://www.cnn.com/2008/US/11/19/obama.alqaeda/index.html

Vitisho vinazidi juu ya maisha ya Barack Obama na familia yake. Kuna wazungu wachache wenye hasira kwa vile kashinda. Wanaona kuwa nguvu ya mzungu Marekani umepungua. Na nasema acha ipungue weusi na watu wengi wasio wazungu wamenyanyaswa kweli hapa Marekani. Hii nchi ina historia chafu na mbaya mno kwa upande wa ubaguzi.

Wataalamu wanasema kuwa Sarah Palin alichochochea huo ubaguzi ambayo tunaiona leo. Watoto wadogo wanasema "Mwue Obama", Misalaba inachomwa kwenye nyumba za weusi, nyumba na magari ya weusi zinachorwa na maneno ya kukashifu weusi na matukio mengi.

Mnaweza kusoma habari zaidi hapa: http://www.timesonline.co.uk/tol/news/world/us_and_americas/us_elections/article5172285.ece
Mimi nadhani Obama atakuwa ni rais mzuri kuliko wote hapa Marekani. Kwanza hapa USA ukiwa mweusi ni lazima uchape kazi mara nne ya mzungu. Hivyo tayari tunajua atachapa kazi zaidi. Watu wana matumaini makubwa juu yake. Obama ana kazi kubwa sana ya kujenga nchi aliyobomoa Bush.

Na naomba kuuliza, Bush yuko wapi siku hizi? Hata zile hotoba zake za kila wiki kwenye redio zimezidi kuwa fupi. Bush kachoka na nadhani siku akiondoka White House atafurahi sana.

Salamu kutoka familia ya Baracka Obama


Familia ya Barack Obama inawatumia salamu za msimu wa sikukuu.

Happy Holidays from the Obama Family

Tuesday, November 11, 2008

Utabiri wa Robert Kennedy

Marehemu Robert Kennedy, mdogo wake John F. Kennedy ambaye aliuawawa mwaka 1963 akiwa rais wa Marekani, alitabiri mwaka 1968 kuwa huenda baada ya miaka 40 mtu mweusi ataweza kuwa rais.



Just for common knowledge: Negro was the politically correct term for identifying black people in the 1960?s, instead of the other word, so Bobby Kennedy was being quite respectful to Black (African Americans) in that aspect when he gave this quote at that time.

But aside from that, his words were prophetic. Kennedy said this in 1968, here it is 2008? Exactly FORTY YEARS LATER!!! One of those things that make you say hmmm.

Sunday, November 09, 2008

Majina ya Watoto Bukoba

Nimeletewa hii kwa e-mail, sijui kama ni utani au ni kweli.

***************************************************************************

Yafuatayo ni majina ya watoto waliozaliwa Juzi huko Kanyigo Bukoba Kagera Baada ya Obama kushinda Uchaguzi mkuu wa USA:

Rweobama
Mutayobama
Barackruigumbiza
Kokubama
Rutobama
Rweimobama
RutashyObama
Rugabaraka
Muchungobama
Rugaimobama
Barakagemalira
Obamuwegasira
Kalokobama
baraka Rutabanzibwa
Rumanyikobama
Mugyabusobama
Ishengobama

Wapenzi wa Obama Uturuki


Asante nifahamishe.com kwa kuleta habari hizi.

*********************************************************************

Kijiji Uturuki chachinja kondoo 44 kumtolea kafara Obama

Baada ya Barack Obama kuchaguliwa kuwa rais wa 44 wa Marekani
wanakijiji wa Cavustepe katika Mkoa wa Van nchini Uturuki wameamua
kumtolea kafara mheshimiwa Obama kwa kumchinjia kondoo 44.

kwa habari kamili na picha zaidi link ni

http://www.nifahamishe.com/newsindetails.aspx?Cat=2&&NewsId=288238

Visit http://www.nifahamishe.com/ for Tanzania and world news

Friday, November 07, 2008

Sura ya Obama Ichongwe Mt. Rushmore!

Na mimi nadhani Barack Obama anastahili nafasi huko Mt. Rushmore. Sura za marais huko ni,
Baba wa Taifa wa Marekani George Washington, Rais Thomas Jefferson, Abraham Lincoln na Theodore Roosevelt.

Picha hii ni asante Photoshop.

Wednesday, November 05, 2008

Tangazo Kwa Watu Weusi Wote Marekani!

NImepata hii kwa e-mail leo. Ni kwelki weusi wengine wame call in sick ile washerekee!

*************************************************

This may be the end of Affirmative Action. I am still celebrating.


SOMEONE WROTE:After watching the final debate last week it dawned on me that Obama could actually win this thing! If that happens there will be a lot of people (some of our co-workers included) who will be afraid that an Obama presidency will usher in the end of days. They'll be watching us on November 5th (the day after the election) for 'signs of the end' times. To keep the peace and keep a lot of folks from getting nervous, I think we should develop a list of acceptable celebrations and
behaviors we should probably avoid - at least for the first few days:

1) No crying, hugging or shouting 'Thank you, Lord' – at least not in public.

2) No high-fives - at least not unless the area is clear and there are no witnesses.

3) No laughing at the McCain/Palin supporters.

4) No calling in sick on November 5th. They'll get nervous if too many of us don't show up.

5) We're allowed to give each other knowing winks or nods in passing. Just try to keep from grinning too hard.

6) No singing loudly, 'We've Come This Far By Faith' (it WILL be acceptable to hum softly).

7) No bringing barbeque ribs or fried chicken for lunch in the company lunchroom for at least a week (no chitterlings AT ALL! This may make us seem too ethnic.)

8) No leaving Kool-aid packages at the water fountain.

9) No Cupid Shuffle during breaks (this could indicate a little too much excitement.)

10) Please no Moving On Up music (we are going to try to remain humble.)11) No grits, chicken & waffles and half & half for breakfast in the office12) No Obama Shuffle on the back parking lot or down the hall to the conference room.
13) No singing loudly…"Ain't No stopping Us now"
14) No block parties circling the perimeter of the White (Black) House

If I've missed anything, feel free to add to the list. I just want to make sure we're all on the same page when Obama brings this thing home on November 5th. Now let's make this thing happen!!!

Kesho ni Sikukuu Kenya


Huko Kenya kesho ni sikukuu. Rais Mwai Kibaki wa Kenya ametangaza kuwa siku ya Alhamisi itakuwa sikukuu ya kusherekea ushindi wa mwana wa Kenya, Barack Obama. Kwa kweli waafrika tujivunie! Tushanglie ushindi wa Barack Obama!

Bibi yake Obama, Sarah Obama, anashangalia kwa kucheza kuko Kogelo. Nadhani hakujua kuwa mjukuu wake atakuwa rais wa Marekani.

Viongozi Wapya wa Marekani

Picha na Damon Winter/The New York Times
Senator Barack Obama na mke wake, Michelle, and Senator Joseph R. Biden Jr. na mke wake, Jill, mjini Chicago jana mara baada ya ushindi wa Obama kutangazwa!


Tuesday, November 04, 2008

Barack Obama Ashinda Uchaguzi 2008!


Barack Obama ni Rais Mteule wa Marekani!!!! Senator wa Delaware Joe Biden, atakuwa makamu wa rais. Mungu yu mwema! Waafrika na hasa sisi kutoka Afrika Mashariki Tujivunie!
OBAMA UBARIKIWE!
Ataapiswha kuwa Rais siku ya Januari 20, 2009 huko Washington, D.C.! Atakuwa rais wa 44 wa Marekani.
Wengi Tunalia machozi ya furaha usiku huu! Sasa kiti cha USenator wa Obama, Illinois iko wazi na kiti cha Gavana wa Delaware kiko wazi.

Njama za Republicans Kuzuia Kura za Obama!

Jamani, hao Republicans ni wachafu na wasio na haya hata kidogo! Katika uchaguzi uliopita walifanya juu chini na hatimaye waliweza kuzuia kura za John Kerry. Matokeo yake tulipata Bush Part II Take II! Sasa wameanza fujo zao tena!

********************************************

November 4, 2008

Obama supporters targeted in bogus messages

(CNN) — Voters in several states have receiving bogus text messages or e-mail urging supporters of Democratic presidential candidate Barack Obama to put off voting until Wednesday because of long lines, spurring threats of prosecution in at least two states.

The messages — a perennial election stunt — popped up Tuesday on mobile phones and computers in the battleground states of Florida, Virginia and Missouri, as well as in several other states. One falsely claimed to be a "CNN breaking news" alert.

"All Obama voters, due to long delays, are asked to wait and vote tomorrow 11/05," that message stated.

Election Day is a one-day event, of course — and in a statement issued Tuesday, Missouri Secretary of State Robin Carnahan said she had "no tolerance" for anyone attempting to confuse voters.

"I am working with local election officials around the state to make sure poll workers and voters understand their rights," said Carnahan, a Democrat.

"Anyone attempting to deprive voters of their rights on Election Day will be prosecuted."

In Maryland, a spokeswoman for Attorney General Douglas Gansler said his office had passed along complaints about the messages to the U.S. Justice Department and state prosecutors.

Similar messages were reported in Texas, Mississippi, Alabama, Maryland and Arkansas.

In Virginia, hackers breached the computer network at George Mason University to send the message, university Provost Peter Stearns told students, faculty and staff in an e-mail denouncing the hoax.

"I am sure everybody realizes this is a hoax," he said. "It is also a serious offense, and we are looking into it. Please be reminded that Election Day is today, November 4th."

A flyer with a similar message was spread around the Hampton Roads area of southeast Virginia last week. Virginia State Police said Monday that they would not bring charges against the man who printed them, and state Board of
Elections Secretary Nancy Rodriguez called the flyers "a joke that got out of control."

Filed under: Voter Problems

Bado Kidogo


Bado kidogo tutajua matokeo ya uchaguzi 2008! Baada ya masaa mawili tutaanza kusika matokeo ya kura zilizopigwa katika majimbo mbalimbali ya Marekani.

Natabiri kuwa Obama atashinda kwa kura nyingi sana.
Mungu azidi kumlinda Obama na familia yake. Kuna wazungu wenye roho za kibaguzi ambao wanasema kuwa wamepania kumwua kabla ya January 20, 2009 kama atashinda urais.

Kaka Yake Obama



Huyu ni Malik Obama (mwenye miwani), kaka yake Senator Barack Obama ambaye leo jioni huenda akawa rais mteule wa Marekani. Malik ni mtoto wa mke mwingine wa mzee Barack H. Obama.

Hapa Marekani watu wanashangaa jinsi waafrika wanavyokuwa na wake wengi.
Ndugu wa Obama wamekusanyika huko kwao Kogelo, Kenya kusikia matokeo ya uchaguzi.

Uchaguzi Leo!


Leo mamilioni ya waMarekani wanapiga kura katika uchaguzi wa kihistoria. Huenda Mmarekani mweusi (Barack Obama) atashinda urais kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii. Au huenda mzee kuliko marais (John McCain) wote atashinda na mwanamke (Sarah Palin) atakuwa wa kwanza kuwa makamu rais.

Tutajua matokeo jioni. Leo kila ukipita foleni za watu wanaongojea kupiga kura ni ndefu.

Mungu azidi kumlinda Barack Obama na familia yake!