Friday, November 05, 2010

Hongera Rais Kikwete

Rais Jakaya Kikwete ataendelea kuongoza Tanzania kwa miaka mitano zaidi.

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akionyesha cheti cha ushindi katika mbio za urais mwaka 2010 muda mfupi baada ya tume ya Uchaguzi kumtangaza kuwa mshindi wa kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka huu 2010.Hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar.

Kwa picha na habari zaidi mtembelee KAKA MICHUZI:

3 comments:

SIMON KITURURU said...

Mmmh!

Anonymous said...

Hongera Rais wetu Mpendwa. CCM kimeshika hatamu!

Anonymous said...

Chakachua chakachua mpaka kimeeleweka