Wednesday, November 17, 2010

Mzee Noma (ONYO- Lugha Chafu)Haki ya Mungu ningemwona huyo mzee mshenzi ana kwa ana ningempiga! HANA ADABU!!!! Ana mawazo finyo na mdomo mchafu! Haheshimu wanawake hata kidogo!

Wito kwa akina mama mlio karibu naye, mchukue mafimbo mpige, uzuri zaidi, mkate hiyo dhakari yake maana hasthali kuwa nayo!!!

12 comments:

Anonymous said...

Hivi huyo mzee ana habari kuwa kaonekana dunia nzima na matusi yake?

SIMON KITURURU said...

:-(

Anonymous said...

wazaramu bwana...! huyu babu lazima atakuwa mzaramu huyu. Maana yake wazee wa kizaramu ndiyo wenye akili kama hizi.

Anonymous said...

Kweli hana adabu!

Anonymous said...

hunachukulia hatua mkononi,waandishi kama nyie ndiyo mliosababisha vita Rwanda,acha kutoa maneno ya uchochezi,mtu akifanya kosa sheria zipo

Anonymous said...

mwenye blog naye fyatu. Ndio responsible jounalism uliyosomea??

Anonymous said...

Da Chemi wewe ni mama mtu mzima na tena msomi,lakini vitu unavyofanya wakati mwingine hata celewi inakuwaje?!! Sasa hiyo clip haikupaswa kuonekana hapo,ckuingilii kwenye blog yako but mambo ya kidaku na kipuuzi yaache kwenye blogs na website husika. Shauri yako...

Godfather said...

Wabongo wanachekesha. Kuna onyo kuwa lugha ni chafu lakini bado wanatazama na kulalamika. Kama hupendi usiangalie.

Anonymous said...

Na mimi nitatayari kumtwanga huyo mzee. Tatizo letu ni kuwa tunjifanya hatuwaoni wazee kama huyo. Anastahili kufungwa MIREMBE!

Mrs. Amani said...

Da Chemi achana na hao wapuuzi wanaokuambiambia umefanya vibaya. Umefanya tendo la kishujaa! Uko bold. Sasa kwa nini usiposti? Watu wanadhani wazee wote ni wasafi eti watakatifu? Ni lazima tujue waza kama huyo yupo na tuchunge binti zetu! Nasema Asante Da Chemi Big Ups endelea na kazi nzuri! Ndio ni responsible journalism. Mila za Tanzania bado finyu. Huyo mzee kweli anastahili kuwa Mirembe kama alivyosema mdau juu.

Chemi Che-Mponda said...

Mimi nilimumbua yule Mzee Mchafu Athumani Ali Maumba mwaka 1990. Ilikuwa vita kali maana ingawa wanahabari walijua jamaa yupo eti ilikuwa 'Taboo' kuandika matendo yake. Mwakani naona nitaandika memoir zangu kuhusu hiyo kesi na subsequent press coverage.

Hapa Marekani huyo Mzee Noma anafungwa kwa sheria za PEDOPHILE!

Anonymous said...

Lakini mnaujua umri wa huyo mwanafunzi aliyetiwa mimba? Na pia, si ametaka mwenyewe kwa kuutafuta utamu? Mimi nionavyo mimi ni kwamba humu kuna ubaguzi wa umri tuu "ageism" kama alivyosema huyu mzee, kukazana watu kuna kushitakiana?

Liacheni jogoo la shamba lile uroda wa dogodogo.

Heko babu, ntakutafuta unipe mbinu zako.