Thursday, November 22, 2012

Happy Thanksgiving!
Nawatakia wadua wote, sikukuu njema ya Thanksgiving. Yaani siku ya shukurani.  Thanksgiving ni sikukuu kubwa hapa Marekani, biashara, mabeni zinafungwa ili watu waweze kuwa na familia zao.

HAPPY THANKGIVING 2012!No comments: