Friday, November 16, 2012

Rais Kikwete Afunga Mkutano wa Majaji Mjini Arusha Leo


Waheshimiwa majaji wakimsikilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete  wakati wa kufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo Novemba 16, 2012Rais Jakaya Kikwete akikufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo Novemba 16, 2012.Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Nhe. Magesa Mulongo Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri wa Sheria Mhe Mathias Chikawe, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi Mhe Fakih Jundu

 Picha na Ikulu

No comments: