Tuesday, November 06, 2012

Rais Obama Ashinda Uchaguzi!


President Barack Obama

Rais Barack Obama ataendelea kuongoza Marekani kwa miaka minne zaidi baada ya kushinda uchaguzi wa Urais leo!

3 comments:

Anonymous said...

Chemi Romney mmemkata hata Home state[Mass]na Paul-Wisc kweli Mwenyezi Mungu Mkubwa,uchaguzi huu Race ilishika hatamu hata Wazungu Masikini wasio na kitu wamemchagua Romney.Wanafunzi Wa OLE Mississipi amefanya fujo baada ya matokeo wengi wako ndani[Mahabusu].

Chemi Che-Mponda said...

Anony wa 8:33 AM, Huyo Romney alikuwa Gavana mbaya hapa Massachusetts. Alikuwa likizo mara kwa mara mpaka kaitwa "Absentee Governor". Pia kwa vile tajiri maongezi yake iliudhi sana watu maana hakuelewa mwananchi wa kawaida anavyoishi. Chini yake nilikuwa kati ya watu 12,000 waliopoteza kazi kwa vile zilipelekwa India!!! Alikuwa na uchu wa kugombea urais na alichotaka ni cheo cha Gavana ili aweze kugombea. Alipoipata wala hakujali kugombea tena! Arudi Cayman Islands akahesabu pesa zake kwenye yacht (meli) yake!!! Sina hamu na Romney, Mungu yu mwema! At least Obama anajali mwananchi wa kawaida.

Anonymous said...

Chemi kama nilivyosema hapo juu Mungu Mkubwa,Romney ni muongo mkubwa hizo kazi ameshindwa kuzielezea atazitoa wapi wakati yeye na Matajiri wenzie ndiyo waliyo hamisha kazi hizo nje?sasa ana likizo ya majonzi kwani anazo Pesa ila amekosa Power.Mwisho uchaguzi umeisha bila kumwaga damu hata jirani zangu hapa Tenn[Red state] wameng'oa mabango yao ya Romney /Ryan bila hata ya kuharibu bango langu Obama/Biden na njasi zangu.Waafrica tujifunze Siasa za chuki tuziache ili tuendelee.