Monday, January 13, 2014

Sinema American Hustle Yashinda Tuzo za Golden Globes


Msimu wa Tuzo za Sinema Marekani imeanza. Jumapili 1/12/14 kulikuwa na Tuzo za Golden Globes.  

Sinema 12 Years a Slave inayohusu Utumwa Marekani ulishinda sinema Bora (Drama). Sinema American Hustle ambayo niliigiza kama Background actor, imepata Tuzo Bora katika fani ya Sinema ya Kuchekesha (Comedy). 

***************************************************


Shut out all night at the Golden Globes, the historical drama "12 Years a Slave" eked out the night's top honor, best film drama, while the 1970s con-artist caper "American Hustle" landed a leading three awards, including best motion picture - comedy or musical.
David O. Russell's "American Hustle" and Steve McQueen's "12 Years a Slave" were tied for the most nominations, with seven apiece, heading into Sunday's ceremony. But it was "Hustle" that had the better night overall, winning acting awards for Amy Adams and Jennifer Lawrence.

KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA:

Mimi katika sinema America Hustle. Niko katika scene ambayo inatokea kwenye Party ya tajiri fulani. Nimevaa nguo  ya kuogelea nyeusi. Stelingi Bi Amy Adams ameshinda tuzo ya Mwigizaji wa Kike Bora katika tuzo za Golden Globes.

3 comments:

Anonymous said...

Hongera Dada Chemi!

Anonymous said...

Sasa Da Chemi lini na wewe utapata OScar?

Anonymous said...

Mungu akubariki Da Chemi utafika!