Wednesday, April 16, 2014

Kumbe Wazee bado Wamo!

Jamani, jamni hebu tuach ule tabia ya kuanika wazee juani na eti kutokurushu hata kucheza ngoma!  Huyo Bi Kizee anafanya vijana waone haya kwa kipaji chake cha kucheza ngoma!

1 comment:

Anonymous said...

Duh! Ni kweli Tanzania tunaanika wazee nje kwenye mkeka waote jua! Mwanamke akifika miaka 40 tunataka vae kanga na kilemba kila saa! Namsifia huo bibi maana nimekwishaona vikongwe wa kizungu wamekongoroka haswa!