Saturday, April 26, 2014

Mazishi ya Shangazi Greene ni Leo Mjini Tabora

The funeral of my aunt. Mrs. Greene Kapepela Chale, is being held in Tabora, Tanzania today. Rest in peace Aunt Greene (1933-2014)

Mazishi ya Shangazi yangu, Mrs. Greene Kapepela Chale, yanafanyika leo mjini Tabora. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. Amen.


Mrs, Greene Kapepela Chale (nee Che-Mponda)  1933-2014

3 comments:

Anonymous said...

Pole sana Dada Chemi. Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. Amen.

Nicky Mwangoka said...

Pole sana Dada. Mungu ampumzishe Shangazi mahali pema. Amen

Anonymous said...

CONDOLENCES to you (sis) and your family. May your SHANGAZI (and all family members who passed away recently REST IN PEACE...