Monday, April 07, 2014

Utapaeli wa Kutaka Login Yako ya Facebook


 Wadau, msikubali kutapeliwa!  Ukipata email inayokuambia kuwa akaunti yako inafungwa ni utapeli!  Ukiwapa password yako utakuta unafungiwa akaunti yako na marafiki wako wanaombwa pesa eti kwa vile umeibiwa na kukwama nchi fulani! Mfano hapo chini.
**********************************************

Facebook! 2014
ToToday at 2:20 PM
Our system detected an error in your account, we strongly advise you update your account to avoid account Suspension or De-activation. 

Please Click Here to Sign in to resolve the error.
 
Thanks for your co-operation.
 
Yours Sincerely
Regards,,
Facebook Team

No comments: