Thursday, April 24, 2014

Tanzia - Mrs. Greene Kapepela Chale (1933 - 2014) Shangazi Yangu

Wadau, ninasikitika kutangaza kifo cha shangazi yangu, Mrs. Greene Kapepela Chale, ni dada wa baba yangu mzazi tumbo moja. Amefariki saa 8 usiku wa kuamkia leo, huko Kitete Hospital, Tabora. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. Amen. 

Misiba imefululiza. alipoteza wajukuu watatu katika miezi chache na wiki iliyopita alifariki Shangazi Mrs. Rozina Che-Mponda Hauli, mke wa baba mdogo,  ghafla.  Dada yangu anasema  kuwa shangazi alilia sana huzuni zilimzidi na inaeleke alipata stroke (kiharusi).

***************************************
I would like to thank all of those who offered prayers for my Aunt, Mrs. Greene Kapepela Chale (maiden name Che-Mponda). I am deeply saddened to announce that she passed away this morning at 2:00am, Tanzanian time at Kitete Hospital in Tabora, Tanzania. May she rest in peace. We are grief stricken.

Aunt Greene you were such fun despite the tragedies that plagued your life. You now join Uncle Selwin, your children, James, John & Happiness, and your many grandchildren and great grandchildren who died before you, in Heaven. No one should endure the grief you endured, but you stayed strong until you could take it no more. We will always remember you my dear Shangazi Greene.

Rest in Peace. Shangazi (mwenye Kilemba), Dada Eliza (katikati), na wifi Mrs, Mburuma (kushoto)

Mimi na Shangazi Greene mwaka 2010 nilipoenda Tanzania

Mrs. Greene Kapepela Chale (1932 - 2014)

2 comments:

Anonymous said...

Pole sana Mungu atawapokea marehemu wote kwa amani.Wanasema inauma kutngulia ila mungu amepanga hatuwezi kupangua.
Inaonekana imekuumiza sana maana umehadithia yote yalotkea ktk familia.
Kumbuka mataizo yapo kwa wote na kifo ndo mwisho wetu

Anonymous said...

CONDOLENCES to you (sis) and your family. May your SHANGAZI (and all family members who passed away recently REST IN PEACE...