Thursday, August 21, 2014

Ubaguzi Marekani- Inasikitisha

Hao wazungu pichani wote wameua watu! Lakini wamekamatwa na wako hai, wako jela.! Mweusi akishukiwa kufanya uhalifu anauawa kama mnyama na Polisi!

1 comment:

Anonymous said...

Da Chemi na Wabongo wengine mnaishi katika nchi ambamo watu weusi ni second class citizens.