Sunday, August 03, 2014

Pastor Myamba Azawadiwa Gari Na Pesa Taslim Shilingi 250M/- Katika Harusi Yake Huko Zanzibar!

Pastor Emmanuel Myamba na Mke wake


Picha na Maelezo Kutoka Swahili World Planet Blog:

Harusi ya Pastor Myamba pengine ndiyo harusi ya star wa Tanzania kuzawadia mali nyingi zaidi ! Myamba amefunga ndoa Zanzibar weekend hii huku akizawadia zawadi kibao za mamilioni likiwemo gari na pesa taslim shilingi milioni 250 za kitanzania. Mastaa mbalimbali wamehudhuria harusi hiyo visiwani Zanzibar. piacha zaidi zinakujia...........2 comments:

Anonymous said...

Huu ni ulimbukeni wa hali ya juu sana. Huyu akivamiwa na majambazi sijui atamlaumu nani.

Anonymous said...

Anapendwa! Acheni wivu.