Saturday, December 13, 2014

Mshamba ni Mshamba Daima!

DUH!

6 comments:

Anonymous said...

Huyo mama ni resourcessful kweli!

Anonymous said...

Good grief! A real country bumpkin indeed. I bet she puts the electric kettle on the cooker hob.

Anonymous said...

Alpiandaje hapo?

Anonymous said...

Huyu dada hana kosa mwenye kosa ni mwenyeji wake, ni bahati mbaya sana jamii zetu wengi tuna tatizo la kudhani kile ukijuacho na mwingine anakijua.
ni vema tukajiuliza ,Kwanini waajiri wengi wanapo ajiri kuna " Orientation"?
HII PICHA kwa wanaopenda kujifunza kuna mengi ya kujifunza humu zaidi ya kuchukulia ni "Ushamba tu"

Anonymous said...

Wee mdau wauliza alipandaje? mbona rahisi tu, pengine kachukua kiti kafanya ndio ngazi kapanda anasonga Ugali wake, kusonga kwa mkono mmja, kushikilia sifuria kunamumiza, na kunachosha, hiyo kabuni njia rahisi,miguu inashikiria banio nae anaendelea na mikono inasonga Ugali poa

Anonymous said...

ANONYMOUS of Dec 24th, 1:42PM: Labda watu walijaribu kumfundisha namna ya kutumiya (sawasawa)hilo jiko la umeme (au gesi), na akakataa kwa kusema kwamba ugali utaguwa mzuri zaidi, akipika yeye mwenyewe anavyojua~ ie using the metal contraption for her legs.

Saa zingine watu wengine hawataki mambo mapya ya kisasa.