Saturday, September 12, 2015

Tyler Perry Asaidia Watoto Albino Kutoka Tanzania Walioko Marekani Kwa Ajili ya Matibabu

Heko kwa msanii maarufu Tyler Perry kwa kusaidia watoto albino kutoka Tanzania, ambao wanapata matibabu kwa ajili ya majeraha waliopata kutokana na  kukatwa vingo vyao.   Watoto hao albino wako nchini Marekani na watapewa viungo bandia kwa ajili ya kuwasaidia katika maisha yao.  Perry ametoa dola $200,000 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba huko New Jersey ambao watoto albino wataweza kufikia wakiwa Marekani.   

Na Tanzania tuko karne gani hadi tunaamini eti ukinywa supu iliyotengenezwa na kiungo cha albino itakufanya uwe tajiri au ushinde nafasi ya uongozi? Aibu sana. Bora dunia ione ushenzi wa Tanzania.  Albino ni bindamu ila amekosa rangi (pigmentation) kwenye ngozi.  Sasa tumekuwa soko kuu ya kuuza viungo vya albino Afrika nzima! Acheni ushenzi na mawazo finyu jamani.  Unaweza kuwa binadamu mwenzio kweli?

*****************************************



Tyler Perry na watoto Albino kutoka Tanzania walioko Marekani kwa jali ya matibabu ya kukatwa viungo vyao.

ATLANTA (AP) - Tyler Perry recently met with a group of Tanzanian children with albinism who are living in a home the filmmaker helped fund.

   Perry's representative said Monday he donated $200,000 three years ago to help build a four-bedroom house in New Jersey for a group of children who had been mutilated for their body parts. The children attended Perry's "Madea on the Run" play Thursday night at Manhattan's Beacon Theatre, where they met him backstage.

   The children will stay there while they receive medical treatment in the United States.

   Perry donated after watching a special featuring Elissa Montanti, a Staten Island woman who runs the nonprofit Global Medical Relief Fund for children affected by war and natural disasters.

   Montanti recently brought the children with albinism to the U.S. from Tanzania.

Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:

No comments: