Saturday, July 29, 2017

Acheni Mchezo wa TIGO, Watu Wanajamba Ovyo Siku Hizi!Wadau, juzi nilikuwa naongea na MBongo. Alikuwa analalamika kuhusu jinsi watu wanavyoshindwa kujikaza siku hizi na kuachia pumzi (kujamba)!

Nayoona ni hivi, Bongo mchezo wa TIGO ( Kufira/ Sodomy) umezidi!   Na nimekuwa nikisema siku nyingi mtaona athari za huo mchezo kuongezeka!

Kwanza, kwa vile ile sphincter ya mkundu/anus imelegea, mtu anashindwa kuzuia pumzi kutoka. Pia maji maji yanatoka, na inabidi avae nepi/pedi.  Halahala huyo akae kwenye kiti/cochi. Unashangaa kwa nini nzi wanaenda pale alipokaa huyo mtu!  Mnaona biashara ya nepi za wakubwa invyoshamiri huko Bongo?

Pili, Ugonjwa wa UTI (Urinary Tract Infection) kwa wanawake na wanaume umeongezeka Bongo kwa vile, mchezo wa TIGO unasababisha uchafu kuingia kwenye ume na uke. Fikiria, dume anaingiza ume wake kwenye mkundu, lazima anapatwa na chembe chembe za mavi!  Na uchafu lazima unateremka kwenye uke wa mwanamke!

Nilishasema na ninawakumbusha, mungu aliumba mkundu/anus kwa ajili ya kunya. Yaani kutoa uchafu mwilini. Haikuumbwa kwa ajili ya kuingiza kitu! Ndo maana inalegea mchezo ukizidi.

Acehni mchezo huo chafu!Tumieni kondomu kwa usalama wenu!
2 comments:

Anonymous said...

UMETOA USHAURI MZURI.
Ila ujaingia kitaalam umeandika unavyohisi.
Mchezo wa Tigo ni hatari kwa maradhi mfn,UTI,HIV.
Kuhusu kujamba hiyo no gesi tumboni inayosababiswa na chakula .
Ila kibinadamu sio mchezo mazuri na kidini pia. Tusikubali kujidhalilisha kwa wanaume ili kuwaridhisha. Huo ni unyama mkubwa.
Wadada wengi wazima kama fashion nawanathubutu kujisifia .
Tufanye vitu kulingana namaandiko ya Mungu na tuwe waoga wa kuwaridhisha wanaume au kujidanganya tukifanya hivyo tutawakamata..Mbona hawawaweki ndani badala yake MNAACHWA

emu-three said...

Hii ni kweli, ujumbe huu ungesambazwa vijana wetu wausome, ni hatari, na tunapokwenda ni kubaya