
Mimi na Josiah Kibira. Bwana Kibira ametunga sinema ya Bongoland II, ameuongoza na amecoordinate production. Pia ni Producer. Bongoland II ni sinema yake ya tatu, sinema zake zingine ni Bongoland I na Tusamehe.

Cameraman Sam Fischer na Soundman Alex Alvarez, wakijadili jinsi watavyopiga scene huko Mikocheni B.

Josiah Kibira akitoka kucheki kuwa set up ya scene iko tayari.

Huyo ni Patrick kutoka Sofia Records akicheki scene kwenye camera.

Mimi na Peter Omari. Katika Bongoland II nimeigiza kama dada yake Zaina.

Thecla Mjatta na Peter Omari wakifanya scene katika Bongoland 2.

Director Josiah Kibira, akijadili jinsi ya kupiga scene.

Ndani ya hiyo nyumba kulikuwa na makochi imported, utadhani za IKEA.

Crew na interns kutoka UCLA wakijadili jinsi ya kupiga scene huko Mikocheni B.

Dada Thecla Mjatta yuko tayri kufanya scene yake.