Showing posts with label Pregnancy. Show all posts
Showing posts with label Pregnancy. Show all posts

Friday, October 14, 2016

DC wa Muheza Awataka Wazee Kuwafichua Vijana Wanaoharibu Maisha ya Wanafunzi

DC MUHEZA AWATAKA WAZEE KUWAFICHUA VIJANA WANAOHARIBU MAISHA YA WANAFUNZI WANAOSOMA.

 Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza katika mdahalo wa siku ya wazee kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wazee Muheza
Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza (DAS) akizungumza neno kwenye kwenye mkutano huo
Mwenyekiti wa Halmasahuri ya wilaya ya Muheza akizungumza
 Afisa Ustawi wa Jamii na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri akizungumza kwenye kikao hicho.
 Mwenyekiti wa Chama cha Wazee wilayani Muheza (UWAWAMU) Seif Athumani akizungumza kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajati,Mhandisi Mwanasha Tumbo akifuatilia kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muheza,
baadhi ya Wazee wilayani Muheza wakimsikiliza kwa umakini Mkuu wa wilaya hiyo,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo.
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto akigawa zawadi ya sabuni kwa mmoja kati ya wazee wilayani humo wakati wa siku ya wazee dunia kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri wilayani humo
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto akigawa zawadi ya sabuni kwa mmoja kati ya wazee wilayani humo wakati wa siku ya wazee dunia kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri wilayani humo
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto akigawa zawadi ya sabuni kwa mmoja kati ya wazee wilayani humo wakati wa siku ya wazee dunia kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri wilayani humo
habari kwa hisani ya blog ya kijamii ya Tanga Raha

Wednesday, April 30, 2014

Wajawazito walalamikia ‘Rushwa’ Kituo cha Afya Simambwe

Wajawazito walalamikia ‘Rushwa’ Kituo cha Afya Simambwe 


Mbeya Vijijini


BAADHI ya akinamama na wanakijiji wa baadhi ya vijiji vya Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wamewalalamikia wauguzi na wahudumu wa afya katika Kituo cha Afya Simambwe kwa kile baadhi yao kuwaomba kitu kidogo (rushwa) hasa kwa wajawazito wanapofika katika kituo hicho kupata huduma.


Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya wanawake kutoka vijiji vinavyohudumiwa na kituo hicho vya Usoha Njiapanda, Shibolya, Simambwe, Garijembe, Ilembo Usafwa, Ngoha na Zunya walisema mjamzito amekuwa akiombwa kutoa shilingi 2000 kila anapojifungulia nyumbani kwa dharura baada ya kushindwa kufika katika kituo hicho.

Mmoja wa akinamama aliyezungumza na mwandishi wa habari hizi ambaye aliomba kutotajwa kwa kuwa huenda akapata taabu kihuduma za afya kituoni hapo, alisema kwa sasa ni jambo la kawaida wahudumu kuwaomba chochote wajawazito kituoni hapo.


“…Unajua vijiji vingi vinavyohudumiwa na kituo hiki vipo mbali na miundombinu ya barabara si mizuri, yaani hakuna usafiri zaidi ya bodaboda ambazo lazima zitoke Simambwe…sasa kutokana na hali hii inatokea mjamzito anajifungulia nyumbani kwa msaada wa wakunga wa jadi, akipeleka mtoto huyo kituo cha afya basi wanamuomba shilingi 2000 haijulikani ya nini, sasa hili si tunaamini sio haki,” alisema mama huyo.


Aidha baadhi ya wanakijiji walikilalamikia kituo hicho kwa kitendo cha kulalamika muda wote hakina dawa huku wahudumu wakiwaelekezwa kwenda kununua dawa jambo ambalo wanahisi kuna mchezo mbaya unafanywa na wahudumu hao.


“Muda wote ukienda kutibiwa utasikia kauli za hakuna dawa tunakuandikia nenda kanunue, tena wengine wanaelekeza hadi maduka ya kununua dawa hizo ndio maana baadhi yetu tunahisi kuna mchezo mbaya (kuhujumu dawa) unaofanywa na baadhi ya wahudumu.,” alisema Mzee aliyejitambulisha kwa jina la Kalamwa.


Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Simambwe, Salome Mwaipopo  alipinga vikali uwepo wa vitendo vya kuomba rushwa kwa watumishi wa kituo hicho na kudai malalamiko kwa wanachi wanaohudumiwa na kituo hicho imekuwa kitu cha kawaida hasa wanapotembelewa na mgeni.


“..Hakuna kitu kama hicho unajua wakazi wengi wa vijiji hivi wamezoea kulalamika hasa wanapotembelewa na mgeni…hakuna wanaoombwa fedha, mjamzito akijifungua nyumbani tunampokea bila masharti na kumpatia huduma anazostahili, si kweli wanachokilalamikia,” alisema Mwaipopo.


Hata hivyo alisema kituo hicho kinahudumia idadi kubwa ya watu zaidi ya uwezo wake jambo ambalo hukifanya kuelemewa kwa idadi ya dawa wanazoletewa, wahudumu na vifaa vingine tiba hivyo kuiomba Serikali kukiongezea mgao wa dawa.

“…Kituo kinahudumia idadi kubwa ya watu kupita uwezo wake hivyo unakuta hata baadhi ya changamoto kama ufinyu wa dawa na wahudumu vinatokana na hali kama hiyo…,” alisema Mganga huyo Mkuu wa Kituo cha Afya Simambwe. 
*Imeandaliwa na www.thehabari.com kwa ushirikiano na TGNP

Saturday, January 18, 2014

Sista Mkatoliki Ajifungua Italy

Wadau, hii kali. Sista mKatoliki amejifungua mtoto wa kiume mwenye afya huko Italia. Huyo Sista, ambaye hakutajwa jina, ana miaka 31 na ana asili ya El Salvador, Amerika ya Kusini. Hakujua kuwa ana mimba.  Alipelekwa hospitali baada ya kushikwa na maumivu makali tumboni.  Amemwita mwanae Francesco.  Je, atabaki kuwa Sista au watamvua USista. Tusimlaumu labda hakujua kuwa ukitembea na mwanaume utapata mimba.

Kama mnavyojua ni mwiko kwa Sista kufanya ngono. Wanatakiwa kuwa Bikira. Au wakishakuwa Sista ni mwiko kufanya ngono na mwanaume tena.  Je, atasema hiyo mimba kapewa na malaika? Lakini mjue hapa Boston miaka ya 1950's waliboma Convent (Nyumba ya Masista). Kwenye Basement walikuta mifupa mingi ya watoto wa wachanga waliozikwa huko! hiyo Convent ilijengwa miaka ya 1800's na kubomolewa 1950's!  Na ninakumbuka nilivyokuwa nafanya kazi Daily News, mwandishi wa habari mwenzangu alikuwa anatamba kuwa anatembea na sista. Eti wanaenda gesti kufanya mambo, wakimaliza yule sista anavaa magwanda yake na kwenda zake. DUH! 

**************************************************

MaSista  wakitembea katika viwanja vya Vatican


Kutoka Huffington Post

A 31-year-old nun has given birth to a baby boy in Rieti, Italy, after experiencing abdominal pains she thought were stomach cramps.
After she was taken to a hospital, she gave birth to a baby and named him Francis after the current pope. The nun, originally from El Salvador, claims she had no idea she was pregnant.
The sister belongs to a convent which is located near the city of Rieti, which has a population of 47,700.
The nun belongs to the "Little Disciples of Jesus'' convent in Campomoro near Rieti, which manages an old people's home.
As news of the nun's pregnancy has spread, the mayor of Rieti, Simone Petrangi, asked local residents and media to give the woman privacy.
Clothes and donations have been collected and sent to the hospital where she gave birth.
"I did not know I was pregnant. I only felt a stomach pain," she told the Ansa news agency.
Other nuns at the convent also expressed shock at the mysterious pregnancy of a holy sister at their order, saying they were "very surprised", according to Italian media reports.
Don Fabrizio Borrelio, a local pastor, says he believes that the nun is telling the truth about being unaware of her pregnancy. He said the nun plans to take care of the baby herself.
The results of a study on reproductive health, published in the British Medical Journal, revealed that one in 200 US women claim to have given birth without ever having had sexual intercourse.
The BMJ reports that of the women who took part in the study, 45 (0.5%) reported at least one virgin pregnancy, "unrelated to the use of assisted reproductive technology".
They claim to have conceived without vaginal intercourse or in-vitro fertilisation (IVF).
The BMJ article notes that virgin births, or parthenogenesis (from the Greek parthenos for virgin and genesis for birth), can occur in non-humans as a consequence of "asexual reproduction, where growth and development of the embryo occurs without fertilisation".
However, the authors of the study, entitled "Like a virgin (mother)", warn that researchers need to take into account the possibility of fallible memory on the part of respondents.

Tuesday, February 19, 2013

What kills one AFRICAN woman every minute of every single day? / The Most Important “Life” Survey You Will Read

PRESS RELEASE

ACCRA, Ghana, February 18, 2013/ -- The Most Important “Life” Survey You Will Read

Every survey starts with a simple question.

What kills one AFRICAN woman every minute of every single day?

A: AIDS
B: CANCER

NEITHER

THE ANSWER IS?

C: PREGNANCY AND CHILDBIRTH

Somewhere in AFRICA one woman dies every minute of every day from causes related to pregnancy and birth.

The hardest pill to swallow for even the most successful African nations is this: giving life to the continent’s next generation is one of the biggest killers’ of Africa’s women.

More often than not it is preventable: Uncontrolled bleeding, infection, poor medical care and a lack of education still sit at the very heart of this hidden crisis.

Those who survive may still suffer. For every woman who dies during childbirth, it is estimated that another 30 are injured or become sick bringing life to the world. Africa’s poorest are the most vulnerable.

But women themselves are not the only victims. The children left behind are more likely to die simply because they are motherless.

Too many babies also die unnecessarily. In Africa, over a million newborns die each year – that is - nearly four every single minute.

If Africa is to advance, MORE needs to be done. SIGNIFICANTLY more.

Today (18th February 2013), MamaYe (http://www.mamaye.org), a public action campaign to save the lives of mothers and babies will be launched in five countries most affected by the crisis of maternal and newborn mortality: Nigeria, Ghana, Sierra Leone, Malawi and Tanzania. This is the first part of a continent-wide campaign which will use digital and mobile phone technology to engage ordinary Africans in the most important fight of all – the battle to save our mothers and babies.

At its core MamaYe will challenge the status quo – the fatalism of millions of Africans, young and old, who accept the deaths of mothers and babies as “natural” or “God’s will.”

MamaYe is a campaign to both educate and encourage communities to take collective and individual action for pregnant mothers amongst them. It will seek to overcome the ingrained belief that responsibility for maternal and newborn survival rests elsewhere: with ‘the government’ ‘the ministry’ ‘professionals’ ‘the UN’ or foreign donors. For MamaYe the active participation of Africans as a whole is a critical ingredient.

MamaYe believes that technology can educate, motivate and mobilise people to take direct action to respond to the maternal and newborn crisis in Africa.

By 2016, it is projected that there will be one billion mobile phones in Africa. 167,335,676 Internet users. 51,612,460 Facebook subscribers. In Ghana, for example, mobile penetration in the country has reached a record 80% of the country’s population.

MamaYe has been initiated by Evidence for Action which is funded by the UK Department for International Development, and headed up in the five countries by African experts.

Country Director Ghana Professor Richard Adanu, who is also the Dean of the School of Public Health in Accra, said:

“We all have the power and the potential to save the lives of mothers and newborns.

“Men who support their wives to visit ante-natal clinics are helping to save lives. Taxi drivers who volunteer to get women to clinics in time for the birth can do the same. Voluntarily giving blood also saves lives, by helping women who haemorrhage during childbirth.

“Government officials that ensure clinics are well stocked with drugs and other essentials, are nothing less than life-savers. Midwives that respond to a crisis in the middle of the night are maternal survival heroines.

“We can all play our part. Childbirth is not a disease. We have known for decades what it takes to ensure the survival of women and babies in childbirth. But if our mothers are to survive, then the African public must also step up, take responsibility and become more involved and vigilant.

“MamaYe will provide the evidence, information and tools necessary to empower our citizens to demand change.

All it takes to make the change, is YOU. “

Visit http://www.mamaye.org to find out more about making a life-saving change for mothers and babies of Africa. On this website you will find easy to understand evidence, stories of heroes and heroines, commitments made by the Government and different actions you can take for this important cause.

Make your voice heard and demand more, join the MamaYe campaign at:

• http://www.mamaye.org

http://www.Facebook.com/MamaYeAfrica

http://www.Twitter.com/MamaYe

Distributed by the African Press Organization on behalf of MamaYe.

Contact: Rachel Haynes (for in-country contacts, see below)

Email: info@evidence4action.net

Contacts

Ghana:

Nii Sarpei, Communicatons: n.sarpei@arhr.org.gh

Malawi:

Mwereti Kanjo, Communications: mweretik@gmail.com


Nigeria:

Morooph Babaranti, Communications: m.babaranti@evidence4action.net

Sierra Leone:

Fatou Wurie, Communications: f.wurie@evidence4action.net

Tanzania:

Chiku Lweno-Aboud, Communications: c.lweno-aboud@evidence4action.net

Wednesday, May 27, 2009

Matatizo ya Uzazi Tanzania

Hii article imenigusa. Nina ndugu na wamrafiki waliokufa Tanzania kwa matatizo ya uzazi. Wengine walikufa kwa uzembe wa waliokuwa wanawahudumia, wengine eti kwa kukosa pochi ya kuwalipa. Na wanawake wenzangu waliopitia uzazi mnaelewa maswala ya uchungu, morning sickness, na matatizo mengine. Karibuni mtoe maoni yenu juu ya hii suala.

*****************************************


Where Life’s Start Is a Deadly Risk


By DENISE GRADY

BEREGA, Tanzania — The young woman had already been in labor for two days by the time she reached the hospital here. Now two lives were at risk, and there was no choice but to operate and take the baby right away.

It was just before dawn, and the operating room, powered by a rumbling generator, was the only spot of light in this village of mud huts and maize fields. A mask with a frayed cord was fastened over the woman’s face. Moments later the cloying smell of ether filled the room, and then Emmanuel Makanza picked up his instruments and made the first cut for a Caesarean section.
Mr. Makanza is not a doctor, a fact that illustrates both the desperation and the creativity of Tanzanians fighting to reduce the number of deaths and injuries among pregnant women and infants.
Pregnancy and childbirth kill more than 536,000 women a year, more than half of them in Africa, according to the World Health Organization.
Most of the deaths are preventable, with basic obstetrical care. Tanzania, with roughly 13,000 deaths annually, has neither the best nor the worst record in Africa. Although it is politically stable, it is also one of the world’s poorest countries, suffering from almost every problem that contributes to high maternal death rates — shortages of doctors, nurses, drugs, equipment, roads and transportation.
There is no single solution for a problem with so many facets, and hospital officials in Berega are trying many things at once. The 120-bed hospital here — a typical rural hospital in a largely rural nation — is a case study in the efforts being made around Africa to reduce deaths in childbirth.
One stopgap measure has been to train assistant medical officers like Mr. Makanza, whose basic schooling is similar to that of physicians’ assistants in the United States, to perform Caesareans and certain other operations. Tanzania is also struggling to train more assistants and midwives, build more clinics and nursing schools, provide housing to attract doctors and nurses to rural areas and provide places for pregnant women to stay near hospitals so that they can make it to the labor ward on time.
But there is a shortage of Emmanuel Makanzas, too. As he began to operate, he said he should have had another pair of skilled hands to assist him. But, he said, “we are few.”
He made a quick, vertical cut, working down from just below the navel, through one layer at a time: skin, fat, muscle, the peritoneal membrane. Within three or four minutes he had reached the uterus, sliced it open and wrestled out a limp, silent baby boy exhausted by the prolonged labor and knocked out by ether. It took a nurse 5 to 10 minutes of vigorous resuscitation to get him breathing normally and crying.
There are many nights like this at the hospital here, 6 miles from the nearest paved road and 25 miles from the last electric pole. It is not uncommon for a woman in labor to arrive after a daylong, bone-rattling ride on the back of a bicycle or motorcycle, sometimes with the arm or leg of her unborn child already emerging from her body.
Some arrive too late. In October, a mother who had been in labor for two days died of infection. In November and December, two bled to death. Doctors say they think that more deaths probably occur outside the hospital among the many women who try to give birth at home.
A few minutes’ walk from the hospital is an orphanage that sums up the realities here: it is home to 20 children, all under 3, nearly all of whose mothers died giving birth to them.
“You can never get used to maternal deaths,” said Dr. Siriel Nanzia Massawe, an obstetrician and the director of postgraduate studies at Muhimbili University of Health and Allied Sciences in Dar es Salaam, the country’s largest city. “One minute she’s talking with her husband, then she is bleeding and then she is gone. She’s gone, very young. You cannot sleep for one week. That face will always come back to you. Too many die, too young. But the people in power, they have not seen it. We need to make them aware.”
Over the course of several days at Berega, the difficulties became clear. At times, Mr. Makanza performed one Caesarean after another, sometimes in the middle of the night. One mother was only 15. Another had already had two Caesareans, adding to the risk of this operation or any future pregnancies, but she declined Mr. Makanza’s recommendation to be sterilized.
Others had hoped to speed their labor by taking herbal medicine but were suffering dangerously strong contractions. Hospital staff members struggled to keep up with the operations, handwashing bloodstained gauze and surgical drapes in basins and mopping blood from the floor between cases.
Two women had severe problems from high blood pressure. One came to the hospital after giving birth at home and having a seizure. Another delivered a full-term infant who had died in her womb at least a week before; her only other pregnancy had ended the same way.
A mother in the maternity ward had arrived in labor with twins, one already dead. A Caesarean had saved the second.
The Global Perspective
Women in Africa have some of the world’s highest death rates in pregnancy and during childbirth. For each woman who dies, 20 others suffer from serious complications, according to the W.H.O. “Maternal deaths have remained stubbornly intractable” for two decades, Unicef reported last year. In 2000, the United Nations set a goal to reduce the deaths by 75 percent by 2015. It is a goal that few poor countries are expected to reach.
“Why don’t we have a global fund for maternal health, like the one for TB, malaria and AIDS?” Dr. Massawe asked.
Tanzania has reduced its death rate for young children, but not maternal mortality. The Ministry of Health says its maternal death rate is 578 per 100,000 births, but the World Health Organization puts the figure at 950 per 100,000. By contrast, the health organization estimates the rate in Ireland, the world’s lowest, to be 1 per 100,000.
The women who die are usually young and healthy, and their deaths needless. The five leading causes are bleeding, infection, high blood pressure, prolonged labor and botched abortions. Maternal deaths from such causes were largely eliminated nearly a century ago in developed countries. In poor countries a mother’s death leaves her newborn at great risk of dying as well.
Experts say that what kills many women are “the three delays” — the woman’s delay in deciding to go to the hospital, the time she loses traveling there and the hospital’s delay in starting treatment once she arrives. Only about 15 percent of births have dangerous complications, but they are almost impossible to predict.
A Medical Emergency
A case in the Tanzanian city of Moshi late last year reveals how suddenly a seemingly normal labor can turn into an emergency in which every second counts. Hawa Khalidi, 36, who had five normal births, gave birth to her sixth child a few hours before dawn on Nov. 19 at a health center staffed only by nurses in one of the poorer sections of the city.
Then she began to hemorrhage, and by daybreak she was dead.
An autopsy found that Mrs. Khalidi bled to death because the nurse who delivered her baby failed to perform one basic task, essential to prevent deadly bleeding: removing the placenta after she gave birth.
Normally, pulling on the umbilical cord will extract the placenta. But the autopsy revealed that the cord broke off. The nurse apparently did not know how to reach into the womb to remove the placenta. She sent Mrs. Khalidi to a hospital, but by then Mrs. Khalidi had lost so much blood that doctors could not save her.
In an interview, Mrs. Khalidi’s husband said nurses at the clinic had scolded her because she was too poor to bring her own “delivery kit” containing gloves, clamps and other supplies. Some maternity wards are so crowded that women sleep two or three to a bed, or lie on the floor, along with their newborns. Although the government has promised to build more clinics and to put one within three miles of every village, it cannot even fully staff the clinics it already has. Health workers — overworked, underpaid and sometimes poorly trained — often become demoralized and resigned to the high death rates.
Women lack education and information about birth control, and some become pregnant too young to give birth safely. Husbands and in-laws may decide where a woman gives birth and insist that she stay at home to save money. Malnutrition, stunted growth, malaria and other infections, anemia and closely spaced pregnancies all add to the risks.
In rural areas, many women use traditional birth attendants instead of going to the hospital. The attendants usually have no formal training in medicine or midwifery. Many doctors blame them for high rates of maternal death and complications, saying they let labor go on for too long, cannot treat complications and fail to recognize emergencies that demand hospital care. But many women are loyal to them. For one thing, the price is right. Around Berega, they charge about $2 per birth. A normal birth at the hospital costs about $6, an emergency Caesarean $15.
Dr. Jeffrey Wilkinson, an obstetrician from Duke University who is working at the Kilimanjaro Christian Medical Center in Moshi, pointed out that other African countries, like Niger, had even higher maternal death rates. Despite the many obstacles in Tanzania, “there is hope here,” he said.
A Hospital’s Shortages
Even though it serves an area with about 200,000 people, the hospital in Berega has no obstetrician or pediatrician. It has only one fully trained doctor, Dr. Paschal Mdoe, 31, who became the medical director in August, fresh out of medical school.
Like most hospitals in Tanzania, the one in Berega tries to compensate for the doctor shortage by relying on assistant medical officers like Mr. Makanza to perform many Caesareans and a few other relatively simple operations like hernia repairs. Although such assistants eventually become quite adept in such operations, most other countries do not recognize their credentials and so do not try to lure them away, a big plus for Tanzania, which loses doctors and nurses to Botswana and other countries that pay more.
Periodically, visiting surgeons repair fistulas, a severe childbirth injury that causes incontinence in the mother. Other outside experts like Dr. Wilkinson have also taught staff members how to resuscitate newborns and treat obstetrical emergencies like hemorrhages and severe high blood pressure.
To persuade more women to give birth at the hospital instead of at home, the hospital is sending health workers with that message to marketplaces, churches, village elders and religious leaders.
In addition, the hospital is creating a “maternity waiting home” so that pregnant women who live far from the hospital can travel to Berega before labor starts and have a place to stay until it is time to give birth. Officials are also negotiating with the government to cover all fees for pregnant women and children, and to acquire an ambulance. (The hospital, a mission institution supported partly by the Anglican Church and the government, does not receive enough money to cover its costs, so it charges fees to make up the difference.)
But there is a long way to go. Only 20 percent of women in the area give birth at the hospital, and many do so only when they need Caesareans. Many women say they simply cannot afford the hospital. More than 50 percent stay home to give birth, and the rest go to local clinics that cannot handle emergencies or perform Caesareans.
“We lost four or five babies this week,” the Rev. Isaac Y. Mgego, an Anglican priest and the hospital’s director, said in an interview in January. “Our doctors have to play with two bad things, to save the mother or save the child.”
It is not easy to lure doctors and nurses to Berega, where most people live in mud huts with no electricity, flush toilets or running water. Malaria is common.
To attract staff members, the hospital provides concrete houses with access to a pump. The church “tops up” government salaries for doctors and nurses, and Dr. Mdoe successfully lobbied church officials to give his staff a raise. A nursing school is being built, with the hope that it will draw local students who will want to remain in Berega.
The hospital has four nursing officers, 10 midwives and 2 other workers known as clinical officers, a total of 16.
“We used to have 34,” Mr. Mgego said. “People leave. We are struggling to retain them. They don’t want to live in villages. Some go without saying goodbye. Those who are committed, they are working tirelessly.”
It costs about $200,000 a year to run Berega Hospital, Mr. Mgego said. He said he hoped the hospital would find ways to prevent the serious problems that required mercy missions and visiting surgeons from groups like Amref, the African Medical and Research Foundation, also known as the flying doctors.
“Coming here to cure people is good, but what can we do to prevent this?” Mr. Mgego asked. “So that one day we can say, flying doctors, you can come, but we have only one patient, or nobody, around here.”



http://www.nytimes.com/2009/05/24/health/24birth.html?_r=1&scp=2&sq=tANZANIA&st=cse