Wadau, kesho nitaigiza katika mchezo wa kuigiza The Harlem Renaissance Revisited with a Gospel Flavor. Role yangu ni ile ile ya Ms. Thelma anayependa kucheza bahati nasibu na mabaye anatafuta mwanaume wa kumwoa.Kiingilio ni bure, tiketi zinapatika Box Office ya Blackman Theater, Northeasternm University, 360 Huntingto Avenue, Boston, MA. Itaanza 7:00pm (saa moja jioni).
Karibuni!
THE HARLEM RENAISSANCE REVISITED
BLACKMAN THEATER
IN ELL HALL, KRENTZMAN QUADRANGLE
NORTHEASTERN UNIVERSITY
360 HUNTINGTON AVE, BOSTON MA.
FRIDAY, FEBRUARY 5, 2010
STARTS AT 7:00PM.



No comments:
Post a Comment