Tuesday, February 09, 2010

Wasanii Wenzangu - Oscar Micheaux Family Theater

Nimeulizwa maswali mengi kuhusu kikundi chetu cha Oscar Micheaux Family Theater cha hapa Boston. Tunakutana Boston South End, Blackstone Community Center, kila mwaka wanafanya mchezo, The Harlem Renaissance Revisited na michezo mingine lakini hiyoya Harlem ndo kubwa. Mimi nilijiunga na kikundi mwaka jana.

Pichani: Waliosimama kuanzaia kushoto - Charles 'Matumbi' Jackson, Lee Smith, Kushelia Shukhu, Joe Banks Jr. Waliokaa, Bonita Andrade, Chemi, Linda Henderson na Catrina Andrade. Picha ilipigwa mwanzoni mwa January na Tina Bergeron.

Wako wengine wengi zaidi, lakini hawakuwepo wakati tunapiga hii picha.

4 comments:

Anonymous said...

Hallo Ms Che mponda,
Thats very interesting ! i like you job very nice.

lakini naomba msaada wako , nina fanya analysis ya Harlem renaissance , looking on authors like Langstone Hughes (weary blues) Mckay(home to harlem,harlem dancer,If we must die), Helene Johnson (the new negro) na Du Bois criteria of negro art),ku anyalysis hizo poems na umuhimu wake na ilisaidia vipi jamii wakati huo.

pamoja na beat generation.

unaweza kunisaidi vipi kwa kazi hiyo ni mine subject yangu for my final exams. nitashukuru kama utaweza kunisaidi, if possible i will contact you soon.

Peter

Anonymous said...

Da Chemi vipi mbona kimya sana.... Tunamisi sana news hapa, wengine kila siku lazima tukupitie....... unaumwa??

Anonymous said...

mimi Peter , vipi dadandio kusema umepata huo ujumbe na je kuna msaada wowote?

shukrani

Chemi Che-Mponda said...

Nitumie e-mail:

chemiche3@yahoo.com