Sunday, October 31, 2010

Happy Halloween

Leo ni Halloween, nangojea watoto wa majirani waje jioni ili niwape zawadi za pipi. Nina Kit-Kats na Three Musketeers. KARIBUNI!

2 comments:

emu-three said...

Imekaa vyema hiyo...`kuwapa watoto wa jirani zawadi..'

emu-three said...

AAH, Hivi sijaandika kitu hapa, hapana nilishapita hapa, kama bado nshukuru sana kwa taarifa hizi.
Unajua kutembeleana blog ni sawa na kutembleana mairani, sasa wengine hatuwezi kukaa bila kumpitia mwenzako na kutoa angalau salamu!