Sunday, October 31, 2010

Sikiliza Wimbo 'Terrified'

Huyu dada ni mwalimu wa shule ya msingi hapa Boston. Anafundisha dara la pili. Naona ana sauti nzuri na huu wimbo 'Terrified' ametunga mwenyewe. Kwa kijana mdogo naona amejitahidi kweli.

Wimbo zaidi ziko: Volume: www.purevolume.com/kate brule.

No comments: