Tuesday, October 12, 2010

Oprah Asikitika Matron wa Shule Yake Ameachiwa Huru!

Najua kuwa Oprah ana hela za kumfunga mtu akitaka, huenda huyo matroni wake kweli hana hatia. Unakumbuka ile kesi ya matroni kudaiwa kubaka wasichana waliokuwa wanasoma shule ya fahari Oprah aliyojenga huko S.A..

Maisha ya Bi Tiny Makopo yaliharibika siku ambayo ilidaiwa kuwa aliomba wasichana wafanye matendo ya kishoga naye. Mahakama ya Afrika Kusini wameamuru kuwa Bi Makopo hana hatia. Yuko huru sasa kuendelea na maisha yake.


Sijui kama madai yalikuwa ya kweli au la, lakini nina amini kuwa siku aliposikia kuwa amepata kazi kwenye shule ya Oprah aliona kama kashinda bahati nasibu. Lakini baada ya hiyo kesi kuibuka aliona dunia chungu.

***********************************************************
Talk Show Mogul Oprah “Disappointed” At Sexual Assault Trial Outcome

Los angeles 10/12/2010

Talk show Queen Oprah Winfrey has said she is "profoundly disappointed" at the acquittal of a woman accused of sexual assault at the talk show hosts South African school for teenagers.

Tiny Virginia Makopo, the former school matron, was accused by the prosecution of 14 counts of sexual assault, including trying to fondle and kiss the girl students at the school. She was also charged with assaulting one of the pupils and a fellow supervisor at the college.

Prosecutor Etienne Venter has after the trial, "She was found not guilty on all of the charges," and according to Sapa news agency, Venter would not be seeking an appeal against the court’s ruling.

South Africa's National Prosecuting Authority spokesman Mthunzi Mhaga commented that: "The magistrate indicated that the state did not prove itself case beyond reasonable doubt on all the charges. We won't be appealing the judgment."

The allegations first arose around the matron at Oprah’s $40 million school, or “Leadership Academy” soon after it opened just outside South African capital Johannesburg in 2007.

Oprah has said that she was "shaken to the core" by the scandal, and the claims of sexual abuse at a place she had thought would be a refuge. She said that it was one of the most devastating periods in her life.

She was recorded Monday saying that the staff at her school are "committed to providing a nurturing educational environment so that all of our girls may continue to flourish. And they are indeed thriving".

4 comments:

Anonymous said...

Hizo pesa alizomwaga huko SA zingejenga shule za maana 20 Bongo! Kweli angesomesha watoto milioni moja na hizo pesa. Halafu anaona kwa vile ni OPrah basi akikuchukia anawea kuharibu maisha yako.

Anonymous said...

hizo pesa anony za OPRAH sio zako,hivi unampangia vp mtu kuspend pesa yake.Kwani Oproh hajui kama Tanzania maskini.Haya ndo matatizo yetu wabongo tunajibweteka tu,na wajuzi wa kulalamika wageni hawajatufanyia this and that.shame upon us.

Anonymous said...

Kweli hela ya Oprah lakini anazitumia vibaya. KWeli wengi zaidi wangeweza kufaidi.

Anonymous said...

hela mwenzio matumizi ulalamikie wewe,Kweli ukistaajabu yaq Musa utayaona ya firauni.AAAAAAAAAAAAAArgh